Sheikh Qassem: akihutubia kwa woga na akitokwa jasho. Nadhani Israel sasa isitishe hii operation

Haha mnachekesha sana nyie mabwege hata Nasurlah alikuwa akitoka Jasho sababu yuko sehemu ambayo haina AC kwa ajili ya usalama wake mnataka aende kwenye majumba kama hoteli wanafiki wawambie Israel yuko hapa πŸ˜„

Anaishi kama panya buku... Maisha haya hivi Mtume naye alikutana nayo? Mwanaume huishi hivi...unatoka unajibu mapambano. Huishi kama dikdik
 
Tuendelee kujifariji namna hii. Nacheka lakini moyoni nalia. Jamaa wanatembeza kipigo. Imagine huyu anayeongea anatokwa jasho hivyo. Halafu mimi nipo Buza huku natetea na kujimwambafy. Israel wanatembeza kipigo hatari.
 
Kweli kabisa Kuna saa huruma inakuja sema shia wabishi sana kusikia kwao hadi wapitie kashikashi kwanza
 
Leo kwa mara ya Kwanza umezungumza point
 
Hawa viongozi ni kama makocha wa simba roho juu juu mda wowote kinakuramba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…