TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

Ogopa Sana dini ambayo inachanganya majini( mashetani) na binaadam katika ibada na wanamwabudu Mungu Mmoja. Ogopa Sana dini ambayo viongozi wake wengi ni wakanga wa kienyeji kwa kutumia kitabu hicho hicho
 
Mashekhe wengi ni wachawi wakubwa
 
aise Hii hoja unaionaje mkuu?

Mungu wa kweli anafanya jambo gani kuokoa hao watoto wadogo wanaoingizwa kingi?
Wahame

Sefania 2
4 Kwa kuwa Gaza utaachwa, na Ashkeloni utakuwa ukiwa; wataufukuzia mbali Ashdodi wakati wa adhuhuri, na Ekroni utang'olewa.

5 Ole wao wakaao karibu na pwani ya bahari, taifa la Wakerethi! Neno la Bwana li juu yenu, Ee Kanaani, nchi ya Wafilisti; mimi nitakuangamiza, asibaki mtu akaaye kwako.

6 Na hiyo nchi ya pwani itakuwa malisho, yenye vibanda vya wachungaji, na mazizi ya makundi ya kondoo.

7 Na hiyo nchi ya pwani itakuwa nchi ya watu wa nyumba ya Yuda waliosalia; watalisha makundi yao huko; watalala katika nyumba za Ashkeloni wakati wa jioni; kwa maana Bwana, Mungu wao, atawajilia na kuwarudisha wafungwa wao.
 
Reactions: Lax
Hata huko makanisani,wanauana kwa maslahi,wapo wanaouana kwa mapanga hapa Tanzania mpaka Kenya,wengine wanaziko huko huko makanisani na wote ni dhehebu moja.
Leta ushahidi
 
Uislam ni biashara ya muumin kwa muumba wake
Uislamu ni utapeli kama utapeli mwingine ,

Mazinge alipiga kelele kuhusu MWAMPOSA anavyotapeli watu kumbe na yeye alikuwa anaona wivu

Leo mazinge anauza mafuta ,maji, wanafukia uchawi usiku, asubuhi wanaufukua wanaibia watu pesa

Anamtumia kijana wake Sheikh Sharif firdaus
 
Msianze kuihusisha kisiasa Kuna mtu akaanza tengeneza mazingira ya kuilaumi serikali, kifo tumeumbiwa si busara kuandaa chuki kwa wengineo, inalillah wa inalillah rajiun
 
Hii si pande zote ipo hivi hivi mkuu?
Wakristo ushasikia wanagombana na kuuana ?

Waislamu ndani ya sunni kwa sunni wanauana kabisa
 
Wakristo ushasikia wanagombana na kuuana ?

Waislamu ndani ya sunni kwa sunni wanauana kabisa
Nazungumzia muktadha mzima wa mgongano wa dini mbalimbali,


Sio fighting ya kushikana mashati.
 
Nazungumzia muktadha mzima wa mgongano wa dini mbalimbali,


Sio fighting ya kushikana mashati.
Wakristo Wana mgongano wa mafundisho ,sio mgongano Hadi wakuuana

Kama muhabi na Salafi Hawa ni sunni kwa sunni

Halafu Kuna Shia na Sunni hii vita nyingine
 
"UPENDO" unatumika kote kasoro middle east? 🤣
GAZA WANALIPA KWA WALICHOFANYA

Amosi 1
6 Haya ndiyo asemayo Bwana; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waliichukua katika hali ya kufungwa kabila nzima, wawatie katika mikono ya Edomu;

7 lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake.

8 Nami nitamkatilia mbali mwenyeji katika Ashdodi; na yeye aishikaye fimbo ya enzi katika Ashkeloni; nami nitaugeuza mkono wangu uwe juu ya Ekroni; na mabaki ya Wafilisti wataangamia, asema Bwana MUNGU.
 
Kwa kinachoendelea pale tunawsambia hivi vitabu havina maana yoyote, Mungu anaweza kuwepo ila sio kwa vitabu hivi mnavyovitolea nukuu,

Na siku ile nilikwambia huyu Mungu wa agano la kale ndo waajabu zaidi,


I rest my case.
 
Wakristo Wana mgongano wa mafundisho ,sio mgongano Hadi wakuuana

Kama muhabi na Salafi Hawa ni sunni kwa sunni

Halafu Kuna Shia na Sunni hii vita nyingine

Muktadha mzima wa dini namaanisha hizi dini zote zilizopo kwa ujumla wake usigawe madhehebu,

Hizi dini za kwenda motoni kuna ambayo inasema mwenzake ataenda peponi?

Nipate katika context hiyo mkuu
 
Wivu ni uchawi, hiyo dua imejaa wivu. Naomba kujua hiyo dua wanaomba kwa nani? Kwasababu huyo anayeombwa atakuwa na ukatili na ana tabia za waombaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…