The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,704
- 1,984
Alisomewa dua ama alilogwa
Yn 10:17-18 SUV
[17] Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena. [18] Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.
![]()
Mungu hujibu maombi yenye Ukweli/Uhalisia na sio Fitna.Endeleeni tu kutapeliwa ,
Kwenye hizi dini watu hawataki kutumia akili
Ni kweli kabisa kwenye hizi Dini watu hawatumii akili kabisa
Mfano: Mchungaji Kibwetere aliua watu kwa mamia kule uganda akiwaaminisha siku ya mwishio imefika
na sasa kinachoendelea hapo Kenya Mchungaji mwingine ameua watu kwa mamia kwenye misitu ya shakahola na bado wanaendelea kufa....na bado watu hawatumii akili kumtafuta Mungu wa ukweli....
Yesu alisha tuonya kuwa; WATU WANGU WATAKUJA KUANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA!
Mkuu toa Elimu ili Maamuma wakuelewe kwa usahihi.Allah ni cheo sio jina la Mungu acha UPOTOSHAJI, hata shetani kaitwa Allah kwenye biblia ya kiarabu ,maana biblia inamuita shetan mungu wa Dunia hii
Mungu kujitofautisha na miungu wengine kwa jina lake
Allah sio jina ,ni cheo tu sawa na GOD ni cheo ,sawa na RAIS
Hapo ndio shida inapoanzia, mwisho dini kwa mtazamo wa sasa ni utapeli tuuhWaislamu wanapigana fitna sana ,ni vile wanaficha sana
Kuna vita ya wahabi na salafi ni vita Kali sana
Hapo onadqiwq ama alisemewaSheikh maarufu Rashid Njuki amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupata ajali ya gari. Tukio hili limetikisa jamii ya Kiislamu nchini na kuibua maswali mazito baada ya kusambaa kwa sauti na ushuhuda kwamba Sheikh huyo alifanyiwa Albadil (Dua ya mabaya) na baadhi ya wenzake waliokuwa wakipingana naye.
Hapa nitaweka video 👇👇
View attachment 3460715
Katika sauti hiyo, Sheikh Njuki mwenyewe alieleza wazi wazi kuwa alifanyiwa Dua maalum iliyolenga apate ajali ili taasisi yake ya Manasik ife. Na kwenye hiyo video Kuna mmoja alifanikiwa kuingia Dua iliposomwa na akarekodi.
Hali hii imechochea hisia kali mitandaoni na mijadala mikubwa kuhusu nafasi ya maombi ya mabaya ndani ya dini hii, nimewahi kuleta sana masomo na makala kuhusu hii dini inayotumia Majini kuua ,n k
Sheikh Njuki amezikwa leo jioni katika Mkoa wa Manyara mara baada ya Swala ya Magharibi, kwa wingi wa waumini, ndugu na marafiki waliomiminika kumuaga safari yake ya mwisho.
Mazishi yake yameacha simanzi kubwa, huku wengi wakitafakari kauli yake ya mwisho kuhusu Dua aliyosomewa, ambayo leo imetimia kwa njia ile ile aliyotabiriwa ( ajali ya gari.)
TAASISI YA MANASIK
Taasisi ya Manasik, iliyoanzishwa na Sheikh Njuki, ilikuwa na jukumu kubwa la kufundisha Waislamu taratibu za Hija na Umra kwa vitendo.
Ilitoa elimu kwa waumini wanaojiandaa kuelekea Makka, ikiwafundisha namna ya kutekeleza ibada mbalimbali kama tawaf, sa’i, wukufu Arafah na kurusha mawe (jamaraat),
Ilikuwa ikitambuliwa kama kituo maalum cha semina, mihadhara na mafunzo ya Hija kwa njia rahisi na za kisasa.
Kwa muda mfupi tu, taasisi hii ilianza kupata umaarufu mkubwa, ikivutia waumini kutoka maeneo mbalimbali nchini., huyu jamaa akaanza kupata pesa ,kwahiyo chanzo ni CHUKI
KWANINI ILIPIGWA VITA?
1. Wivu na Ushawishi Umaarufu wa Sheikh Njuki na taasisi yake ulionekana tishio kwa madrasa na taasisi nyingine zilizokuwa zikijihusisha na elimu ya Hija na Umra.,(kumbuka hijja na Umra ni biashara za watu ,nishaeleza sana Kuna Uzi nilileta Mods wakauondoa ,nilionesha jinsi watu wanavyopiga pesa kwa hii biashara ,jinsi Waarabu wanavyoingiza mabilion na mabilion kupitia mfuko wa PIF)
2. Tofauti za Kiiitikadi – Wapo masheikh na walimu waliokuwa na mitazamo tofauti ya kifiqhi. Tofauti hizo zilipelekea kumtazama kama mpinzani na sio mshirika.,
3. Hofu ya Kupoteza Wafuasi – Kadri waumini walivyoelekea kwenye Manasik, baadhi ya viongozi wengine waliamini kuwa ushawishi wao na nafasi zao kijamii vitadhoofika.,Kumbuka hii ni biashara kama biashara nyingine ,hivo wanaibiana wateja(maamuma)
4. Fitna na Mashindano – Badala ya mshikamano, chuki binafsi na mashindano ya kijamii yakawa chanzo cha maombi ya mabaya. Hatimaye Sheikh Njuki akajikuta akifanyiwa Albadil Dua ya kumuombea apate ajali ili kuua taasisi yake.
Pumzika kwa Amani Sheikh Njuki
Uko sahihi.Msiba wa mswahili haukosi sababuKafa yeye na mkewe
Lakini kafa kwa sababu ya ajali.
Kutoka magugu babati mpaka chemba ni 2hr :21m
Katoka magugu saa 12:30 jioni saa mbili anapata ajali tayari kashaipita chemba kwa maana katembea saa moja na nusu umbali ambao alitakiwa kutembea masaa mawili.
Speed speed ajali kama ajali zingine.
Punguzeni uzushi Albadiri haijamuua.
Naunga mkono hoja yakoTatizo Africa na nchi masikini, kufanya uchunguzi wa vifo na ajali ni hakuna tu
Hata wahusika au polisi huwa wanabuni tu hiyo ajali na kufikia hitimisho
Hakuna resources za kufanyia uchunguzi
Sasa hapo kama wabaya wake walimwaga mafuta ya breaks nani atalijua hilo?
Au kwa upumbavu wa wachache basi wataamini kisomo kimetiki.
Yule muongo aliesema Mange atakatika vidole na Mange akasema ntaandikia miguu mbona bado anaandikia vidole vyake?
Hela za kufanyia uchunguzi hazitoshi Ndio maana hata vifo vya majumbani havifanyiwi postmortem examination
Tunazika tu hata kama baba alinyongwa na mtoto usiku ili dogo achukue mali
Mnasema kafa ghafla masikini
Nakuunga mkono,asilimia mia moja.Nq aliomba kikombe cha mauti kimuapukeMakelele ya maombi haya ya kazi gani na yeye anajuwa anaenda kufa kwa ajili ya watu?
Yesu alipaza sauti kwa nguvu hasa akiwa msalabani aliposema, "Eloi, Eloi, lama sabachthani?" ("Mungu wangu, Mungu wangu, kwa nini umeniacha?"
Kaisahau mission au ndiyo mission impossible
Narudia tena waislamu na hizo albadir zenu mnaongoza ona sasa mmeenda kumtumia sheikh jini apate ajali afe halafu mnajifanya mmemuomba MunguWakristo wanaongoxa,Yuda alitumia majini,na uchawi,ili Yesu aonekqne na auliwe.na ndio Yesu pia akatumia majini,kwa kusema,kabla jogoo hajawika,Yuda utanisaliti,na kweli alipomsaliti tu jogoo akawika.Wachawi wengi hutumia jogoo kuwika kwa kutabiri mambo yao
Sheikh maarufu Rashid Njuki amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupata ajali ya gari. Tukio hili limetikisa jamii ya Kiislamu nchini na kuibua maswali mazito baada ya kusambaa kwa sauti na ushuhuda kwamba Sheikh huyo alifanyiwa Albadil (Dua ya mabaya) na baadhi ya wenzake waliokuwa wakipingana naye.
Hapa nitaweka video 👇👇
View attachment 3460715
Katika sauti hiyo, Sheikh Njuki mwenyewe alieleza wazi wazi kuwa alifanyiwa Dua maalum iliyolenga apate ajali ili taasisi yake ya Manasik ife. Na kwenye hiyo video Kuna mmoja alifanikiwa kuingia Dua iliposomwa na akarekodi.
Hali hii imechochea hisia kali mitandaoni na mijadala mikubwa kuhusu nafasi ya maombi ya mabaya ndani ya dini hii, nimewahi kuleta sana masomo na makala kuhusu hii dini inayotumia Majini kuua ,n k
Sheikh Njuki amezikwa leo jioni katika Mkoa wa Manyara mara baada ya Swala ya Magharibi, kwa wingi wa waumini, ndugu na marafiki waliomiminika kumuaga safari yake ya mwisho.
Mazishi yake yameacha simanzi kubwa, huku wengi wakitafakari kauli yake ya mwisho kuhusu Dua aliyosomewa, ambayo leo imetimia kwa njia ile ile aliyotabiriwa ( ajali ya gari.)
TAASISI YA MANASIK
Taasisi ya Manasik, iliyoanzishwa na Sheikh Njuki, ilikuwa na jukumu kubwa la kufundisha Waislamu taratibu za Hija na Umra kwa vitendo.
Ilitoa elimu kwa waumini wanaojiandaa kuelekea Makka, ikiwafundisha namna ya kutekeleza ibada mbalimbali kama tawaf, sa’i, wukufu Arafah na kurusha mawe (jamaraat),
Ilikuwa ikitambuliwa kama kituo maalum cha semina, mihadhara na mafunzo ya Hija kwa njia rahisi na za kisasa.
Kwa muda mfupi tu, taasisi hii ilianza kupata umaarufu mkubwa, ikivutia waumini kutoka maeneo mbalimbali nchini., huyu jamaa akaanza kupata pesa ,kwahiyo chanzo ni CHUKI
KWANINI ILIPIGWA VITA?
1. Wivu na Ushawishi Umaarufu wa Sheikh Njuki na taasisi yake ulionekana tishio kwa madrasa na taasisi nyingine zilizokuwa zikijihusisha na elimu ya Hija na Umra.,(kumbuka hijja na Umra ni biashara za watu ,nishaeleza sana Kuna Uzi nilileta Mods wakauondoa ,nilionesha jinsi watu wanavyopiga pesa kwa hii biashara ,jinsi Waarabu wanavyoingiza mabilion na mabilion kupitia mfuko wa PIF)
2. Tofauti za Kiiitikadi – Wapo masheikh na walimu waliokuwa na mitazamo tofauti ya kifiqhi. Tofauti hizo zilipelekea kumtazama kama mpinzani na sio mshirika.,
3. Hofu ya Kupoteza Wafuasi – Kadri waumini walivyoelekea kwenye Manasik, baadhi ya viongozi wengine waliamini kuwa ushawishi wao na nafasi zao kijamii vitadhoofika.,Kumbuka hii ni biashara kama biashara nyingine ,hivo wanaibiana wateja(maamuma)
4. Fitna na Mashindano – Badala ya mshikamano, chuki binafsi na mashindano ya kijamii yakawa chanzo cha maombi ya mabaya. Hatimaye Sheikh Njuki akajikuta akifanyiwa Albadil Dua ya kumuombea apate ajali ili kuua taasisi yake.
Pumzika kwa Amani Sheikh Njuki
Aljisahau.Weww hebu fikiria Yesu na ukubwa wake wote,lakini alisalitiwa na Yuda mwanafunzi wake, kwa vipande vys fedha,na wakamkamata,maadui zake,wakamsulubuMakelele ya maombi haya ya kazi gani na yeye anajuwa anaenda kufa kwa ajili ya watu?
Yesu alipaza sauti kwa nguvu hasa akiwa msalabani aliposema, "Eloi, Eloi, lama sabachthani?" ("Mungu wangu, Mungu wangu, kwa nini umeniacha?"
Kaisahau mission au ndiyo mission impossible
Unampigia mbuzi gitaa?Kumbuka tu kuwa; Mungu hujibu maombi yenye Ukweli/Uhalisia na sio Fitna. Umeshatuambia kwenye post yako kuwa alichokuwa anafanyiwa ni FITNA ina maana Mungu hawezi kujibu; hivyo kilichotokea ni ajali kama ajali na sio Albadru....tafuteni elimu kabla ya kuleta hoja za ajabu ajabu huku majukwaani......