TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

Yn 10:17-18 SUV
[17] Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena. [18] Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.
Kama alitoa uhai mwenyewe Yesu mbona aliomba kwa Mungu wake,kikombe cha umauti kimuepuke.Na hakikumuepuka.Aliteswa,alitemewq mate,alikitwa mikuki,walimfanyia dhihaka ya kuwa,kama anaweza kujiokewa alike.Yesu alikufa kigo kibaya kabisa.
 
Kama alitoa uhai mwenyewe Yesu mbona aliomba kwa Mungu wake,kikombe cha umauti kimuepuke.Na hakikumuepuka.Aliteswa,alitemewq mate,alikitwa mikuki,walimfanyia dhihaka ya kuwa,kama anaweza kujiokewa alike.Yesu alikufa kigo kibaya kabisa.
Yesu aliomba kikombe kimuepuke kama mwanadamu, lakini alitii mpango wa Mungu. Aliweza kujiepusha, lakini hakufanya hivyo kwa sababu ya upendo na wokovu wetu. Aliteswa kwa muda, lakini mateso hayo yaligeuka kuwa ushindi wa milele kwa njia ya ufufuo.
 
Waislamu wanapigana fitna sana ,ni vile wanaficha sana

Kuna vita ya wahabi na salafi ni vita Kali sana
Ni kama vile wakristo wanavyopigana vita sana mpaks wakamsulubu Yesu na kumuua.Yuda alikuwa mwanafunzi wa Yesu,alimsaliti Yesu kwa vipande vya fedha.Na mpaka leo Yuda anaitwa msaliti.
 
Gharama ya hiop dua ni bei gani ili CCM wafe kwa ajali hasa kipindi hiki cha Kampeni? Tutasingizia magari
🤣🤣 mkuu M7, lukashenko, netanyahu wamedunds serikalini muda mrefu sana😁,

Natumaini umenipata mkuu.

Kituo kinachofata jumatano saa 3 usiku
 
Wakati ukifika utaondoka tu.Yesu aliombewa maombi na nani,mbona alisulubiwa,na kuuliwa,na aliomba kwa Mungu wake,kikombe cha umauti,kimuepuke lakini hakikumuepuka.
Yesu mwenyewe alikuja akijua atasurubiwa... hilo tukio la kusurubiwa Yesu ni kitu kilikuwa kimeshapangwa.. Soma vizuri Biblia.... Yesu hakusurubiwa kwa sababu ya Alibadiri
 
KWANINI WANAWAZA KUUA TU KWANI HAKUNA NAMNA NYINGINE???
NINYI WAUWAJI NINYI WASHENZI WAKUBWA NYIE
Hata Yesu pia alisulubiwa na kuuliwa,na alisalitiwa na mwanafunzi wake,Yuda kwa biplane vya fedha
 
Hizo duwa kwanini wasizielekeze kuleeee... Kama kweli zinafanya kaz
Ni uongo mkuu mambo ya duwa sijui maombi 🤣🤣
Afande sele alisomewa hiyo inayoitwa Albadili tukaambiwa hatoboi wiki 🤣mwaka wa kumi huu yupo anakula bangi tu Kwao morogoro
 
Ni.kama vile wakristo wanavyopigana vita sana mpaks wamsulubu Yesu na kumuua.Yuda alikuwa mwanafunzi wa Yesu,animalistic Yesu kwa vipande vya fedha.Na mpaka leo Yuda anaitwa msaliti.
Yohana 3
16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

17 Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye.
 
Hakuna Cha albadil n tarehe yake ilifikia
Ingekuwa albadil inafanya kazi wanamtandao mpaka sasa wasingekuwa wanatamba katka unyonyaji wa taifa hili
 
Ni uongo mkuu mambo ya duwa sijui maombi 🤣🤣
Afande sele alisomewa hiyo inayoitwa Albadili tukaambiwa hatoboi wiki 🤣mwaka wa kumi huu yupo anakula bangi tu Kwao morogoro
Sio kila mtu anapatwa na Dua mbaya

Hata Mimi nilisomewa nilipobadili dini ,mpaka Leo nanenepa tu
 
Tatizo ni kuwa Hijja na Umra ya miaka hii imekuwa ni biashara kwakweli, na wengine hawafuati taratibu wallah
 
Back
Top Bottom