aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 8,724
- 24,474
Nipe majini wawili mkuu jike na dume niwafuge wakizaa tunagawana watoto š¤£True Mzee, mtu kama Mimi unaanzaje kunisomea albadili ?
Mimi Nimefuga Hadi majini
Nipe majini wawili mkuu jike na dume niwafuge wakizaa tunagawana watoto š¤£True Mzee, mtu kama Mimi unaanzaje kunisomea albadili ?
Mimi Nimefuga Hadi majini
Tena tutawachangiaHizo duwa kwanini wasizielekeze kuleeee... Kama kweli zinafanya kaz
Dini ni hii ya Mwanafunzi wa Yesu,kumsaliti Yesu,akasulubiwa na kuuliwa msalabani.Mpaka leo Yuda anaitwa msaliti.Kati ta Yesu na huyu Sheih nani zaidi.Yesu mpaks analia,na kuomba kwa Mungu wake,kikombe cha umauti kimuepuke.lakini hakikumuepuka,alisulubiwa,na kufa msalabaniKobazi kumbe dua mbaya mbaya mnazielekeza kwa mungu wenu kwamba ajali mbaya impate duh ššš hii sio dini ilikuwa movement za mudi kupambana na wabaya wake ndiyo maana kobazi kupita na kichwa cha mtu na jambia hawaoni hatari yaani ni jambo dogo kwao.
"yenu" labda uweke "yao" mkuu.Wapalestina ni wavamizi hata Quran yenu inajua
Mnawachokoza waisrael mnataka wawachekee
Ndani ya Yesu unafanya vitu gani mkuu š¤£Nilishatoka huko Mzee nipo ndani ya Yesu
Watu wana majini alafu, serikali inahangaika kutafuta wakandarasi, serikali iingie ubiašNipe majini wawili mkuu jike na dume niwafuge wakizaa tunagawana watoto š¤£
Kafa Sasa Hapo Hakuna UongoUongo upi ? Kwamba hajafa ?
Kwamba marehemu aliongopa kuhusu kusomewa ALBADIL?
Waende wapi? Unatumia criteria gani kuwaita wavamizi?Wale ni wavamizi, wanafuga magaidi
Mkuu tusihamishe magori twende taratibu hiyo clip nimeona hapo si ni kobazi wanaelekeza maombi yao kwa mungu wao kwamba ajali mbaya impate au ni wagalatia wameitengeneza?Dini ni hii ya Mwanafunzi wa Yesu,kumsaliti Yesu,akasulubiwa na kuuliwa msalabani.Mpaka leo Yuda anaitwa msaliti.Kati ta Yesu na huyu Sheih nani zaidi.Yesu mpaks analia,na kuomba kwa Mungu wake,kikombe cha umauti kimuepuke.lakini hakikumuepuka,alisulubiwa,na kufa msalabani
Yesu huyu,aliyeshindwa kujiokoa msalabani mpaka akasema,Mungu wangu mbona umeniacha?Akaomba kwa Mungu wake kikombe cha umauti kumuepuke,lakini hakikimuepuka,akasulubiwa na kufeswa na kufa msalabani.Yesu alikufa kifo kibaya sans,cha mateso,kudhihakiwa, na kutemewa mate na kukitwa mikuki.Na alisalitiwa na Yuda,mwanafunzi wake.Nilishatoka huko Mzee nipo ndani ya Yesu
kuleee... na wao ni dam damHizo duwa kwanini wasizielekeze kuleeee... Kama kweli zinafanya kaz
umezingua mwanetu, matusi ya nini sasa!!!?Kichwa pumbu katika ubora wako.....
Kuna Shehe alikuja saiti tunafanya kazi ya kumwaga zege akasema kama mngekuwa waislam na mna Imani na Allah, manaswali swala 5 basi hii zege yote hapa mngeweza kumuomba Mwenyezi Mungu awape malaika waibebe hii zege ndani ya dakika chache š¤£š¤£Watu wana majini alafu, serikali inahangaika kutafuta wakandarasi, serikali iingie ubiaš
Kusulubiwa kwa Yesu,ni.mfalatia Yuda,kwa hiyo Yesu kifo chake,kimetokana na malaria mwenzake.Japo Yesu alioombq kikombe cha umauti kuepuke kwa Mungu wake,lakini hakikumuepuka aliteswa,alikitwq mikuki,alitemewa mate,alisulubiwa akauliwaMkuu tusihamishe magori twende taratibu hiyo clip nimeona hapo si ni kobazi wanaelekeza maombi yao kwa mungu wao kwamba ajali mbaya impate au ni wagalatia wameitengeneza?