TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

Kafa yeye na mkewe
Lakini kafa kwa sababu ya ajali.
Kutoka magugu babati mpaka chemba ni 2hr :21m
Katoka magugu saa 12:30 jioni saa mbili anapata ajali tayari kashaipita chemba kwa maana katembea saa moja na nusu umbali ambao alitakiwa kutembea masaa mawili.
Speed speed ajali kama ajali zingine.
Punguzeni uzushi Albadiri haijamuua.
Tunahitaji Akili kama zako mkuu.
Chanzo Cha kifo chake kumbe ni ajali, mwendokasi.
Halafu watu wanaweka udini
 
Wanakutegeshea ajali ya gari technically kabisa, alafu wanazusha kuwannh Dua ili kupoteza ushahidi,so wana familia wanapaswa kufanya uchunguzi wa ajali
🤔
 
Hata Yesu pia alisulubiwa na kuuliwa,na alisalitiwa na mwanafunzi wake,Yuda kwa biplane vya fedha
Zaburi 41
9 Msiri wangu tena niliyemtumaini, Aliyekula chakula changu, Ameniinulia kisigino chake

Zaburi 41
9 Msiri wangu tena niliyemtumaini, Aliyekula chakula changu, Ameniinulia kisigino chake.
 
Ni kama vile wakristo wanavyopigana vita sana mpaks wakamsulubu Yesu na kumuua.Yuda alikuwa mwanafunzi wa Yesu,alimsaliti Yesu kwa vipande vya fedha.Na mpaka leo Yuda anaitwa msmsaliti.
Mkristo gani anayepigana vita?

Tukio la Yudi kuitwa msaliti, ni kama kuonesha Usaliti sio kitu kizuri hasa kumgeuka mtu kwa sabaabu ya tamaaa za muda mfupi kama alivyofanya Yuda Escariot
 
Yesu mwenyewe alikuja akijua atasurubiwa... hilo tukio la kusurubiwa Yesu ni kitu kilikuwa kimeshapangwa.. Soma vizuri Biblia.... Yesu hakusurubiwa kwa sababu ya Alibadiri
Kama ilishapangwa Yesu afe kwa ajali ya kusulubiwa,mbona Yuda anaitwa Msaliti,badala ya kupongezwa kwa kitendo alichofanya,cha kupewa vipande vya fedha,na kumuonyesha Yesu,alikojificha
1.Yesu alijificha,asionekane na wauaji.
2.Aliomba kwa Mungu wake kikombe cha unmauti kimuepuke.
3.Aliyefanya mipango,aonekane aliko jificha,Yuda anaitwa msaliti.Kwa nini Yuda asipongezwe ka kutekeleza utabiri,analaumiwa
 
Wakati ukifika utaondoka tu.Yesu aliombewa maombi na nani,mbona alisulubiwa,na kuuliwa,na aliomba kwa Mungu wake,kikombe cha umauti,kimuepuke lakini hakikumuepuka.
Hakika muda ukifika unaondoka tu no matter what
 
Kuhusu kusomewa Dua mbaya Kisha unakufa hiyo kitu hakuna niliona msikiti flani waliiba spika za azana na vitu vingi vingi wakatangaza siku ya kusoma Dua wakasoma Dua ila wapi na mwizi kapata kazi migodini mambo yanaenda
🤣🤣
 
Kama ilishapangwa Yesu afe kwa ajali ya kusulubiwa,mbona Yuda anaitwa Msaliti,badala ya kupongezwa kwa kitendo alichofanya,cha kupewa vipande vya fedha,na kumuonyesha Yesu,alikojificha
1.Yesu alijificha,asionekane na wauaji.
2.Aliomba kwa Mungu wake kikombe cha unmauti kimuepuke.
3.Aliyefanya mipango,aonekane aliko jificha,Yuda anaitwa msaliti.Kwa nini Yuda asipongezwe ka kutekeleza utabiri,analaumiwa
Ni kweli, kifo cha Yesu kilikuwa mpango wa Mungu wa milele kwa ajili ya wokovu (Matendo 2:23). Lakini hilo halimaanishi Yuda asingeweza kulaumiwa. Kwa nini?

Kwa sababu Yuda alichagua mwenyewe kitendo chake cha tamaa na usaliti.

Mungu hakumshurutisha Yuda asalit; alimjua tu mapema atachagua njia hiyo.

Hivyo basi, Yuda ni mtendaji wa dhambi yake, huku mpango wa Mungu ukitimia kupitia uovu wake.


Mfano: Kwenye Mwanzo 50:20 Yosefu alimwambia ndugu zake waliomsaliti

“Ninyi mlikusudia mabaya juu yangu, lakini Mungu alikusudia mema.”

👉 Vilevile, Yuda alikusudia uovu (usaliti kwa fedha), lakini Mungu akaligeuza kuwa wokovu wa dunia.

Kwa sababu moyo wake haukuwa wa kumtii Mungu, bali wa kutafuta faida ya fedha (Mathayo 26:14-15).

Hakumsaliti Yesu kwa imani au utii, bali kwa tamaa na uovu.

Ndiyo maana Yesu alisema: “Ole wake mtu yule ambaye Mwana wa Adamu anasalitiwa naye; ingekuwa heri kwake kama asingalizaliwa” (Mathayo 26:24).


👉 Kwa hiyo Yuda alitimiza unabii, lakini kwa nia mbaya. Kumbuka, kufanya jambo lililopo kwenye mpango wa Mungu siyo kigezo cha kupongezwa kama moyo wako ni wa dhambi.

Hii ilionyesha ubinadamu wake, si udhaifu wa Mungu. Alihisi uchungu na hofu kama mwanadamu, lakini aliendelea kutii hadi mwisho (Luka 22:42).

Ombi lile lilionyesha kwamba kifo chake hakikuwa mchezo au maigizo, bali mateso halisi yaliyolipia dhambi zetu.

Ni kweli aliwahi kuondoka mahali pa hatari (Yohana 10:39-40), kwa sababu saa yake bado haijafika. Lakini alipofika wakati ulioamuliwa na Mungu, hakujificha tena. Aliwaambia askari waliomtafuta: “Mimi ndiye” (Yohana 18:5). Hapa tunaona kwamba alijitoa mwenyewe, siyo kushindwa.
 
Kobazi kumbe dua mbaya mbaya mnazielekeza kwa mungu wenu kwamba ajali mbaya impate duh 😃😃😃 hii sio dini ilikuwa movement za mudi kupambana na wabaya wake ndiyo maana kobazi kupita na kichwa cha mtu na jambia hawaoni hatari yaani ni jambo dogo kwao.
 
Mkristo gani anayepigana vita?

Tukio la Yudi kuitwa msaliti, ni kama kuonesha Usaliti sio kitu kizuri hasa kumgeuka mtu kwa sabaabu ya tamaaa za muda mfupi kama alivyofanya Yuda Escariot
Ndio usaliti.mkubwa huo.Yesu qlisalitiwa na mwanafunzi wake mwenyewe Yuda
1.kwa kupewa vipende vya Fedha
2.Akawaonyesha maadui wa Yesu,alipo Yesu
3.Yesu akakamatwa,akabeshwa msalaba,akasulubiwa akauliwa
4.Kati ya huyo Sheikh,na Yedu nani kasalitiwa na mtu wake wa karibu,ni Yesu,Yuda alikuwa ni mwanafunzi wake
5.Mpaka leo,Yuda anaitwa msaliti,badala ya kupongezwa
 
Sheikh maarufu Rashid Njuki amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupata ajali ya gari. Tukio hili limetikisa jamii ya Kiislamu nchini na kuibua maswali mazito baada ya kusambaa kwa sauti na ushuhuda kwamba Sheikh huyo alifanyiwa Albadil (Dua ya mabaya) na baadhi ya wenzake waliokuwa wakipingana naye.

Hapa nitaweka video 👇👇
View attachment 3460715

Katika sauti hiyo, Sheikh Njuki mwenyewe alieleza wazi wazi kuwa alifanyiwa Dua maalum iliyolenga apate ajali ili taasisi yake ya Manasik ife. Na kwenye hiyo video Kuna mmoja alifanikiwa kuingia Dua iliposomwa na akarekodi.

Hali hii imechochea hisia kali mitandaoni na mijadala mikubwa kuhusu nafasi ya maombi ya mabaya ndani ya dini hii, nimewahi kuleta sana masomo na makala kuhusu hii dini inayotumia Majini kuua ,n k

Sheikh Njuki amezikwa leo jioni katika Mkoa wa Manyara mara baada ya Swala ya Magharibi, kwa wingi wa waumini, ndugu na marafiki waliomiminika kumuaga safari yake ya mwisho.

Mazishi yake yameacha simanzi kubwa, huku wengi wakitafakari kauli yake ya mwisho kuhusu Dua aliyosomewa, ambayo leo imetimia kwa njia ile ile aliyotabiriwa ( ajali ya gari.)


TAASISI YA MANASIK

Taasisi ya Manasik, iliyoanzishwa na Sheikh Njuki, ilikuwa na jukumu kubwa la kufundisha Waislamu taratibu za Hija na Umra kwa vitendo.

Ilitoa elimu kwa waumini wanaojiandaa kuelekea Makka, ikiwafundisha namna ya kutekeleza ibada mbalimbali kama tawaf, sa’i, wukufu Arafah na kurusha mawe (jamaraat),

Ilikuwa ikitambuliwa kama kituo maalum cha semina, mihadhara na mafunzo ya Hija kwa njia rahisi na za kisasa.

Kwa muda mfupi tu, taasisi hii ilianza kupata umaarufu mkubwa, ikivutia waumini kutoka maeneo mbalimbali nchini., huyu jamaa akaanza kupata pesa ,kwahiyo chanzo ni CHUKI


KWANINI ILIPIGWA VITA?

1. Wivu na Ushawishi Umaarufu wa Sheikh Njuki na taasisi yake ulionekana tishio kwa madrasa na taasisi nyingine zilizokuwa zikijihusisha na elimu ya Hija na Umra.,(kumbuka hijja na Umra ni biashara za watu ,nishaeleza sana Kuna Uzi nilileta Mods wakauondoa ,nilionesha jinsi watu wanavyopiga pesa kwa hii biashara ,jinsi Waarabu wanavyoingiza mabilion na mabilion kupitia mfuko wa PIF)


2. Tofauti za Kiiitikadi – Wapo masheikh na walimu waliokuwa na mitazamo tofauti ya kifiqhi. Tofauti hizo zilipelekea kumtazama kama mpinzani na sio mshirika.,


3. Hofu ya Kupoteza Wafuasi – Kadri waumini walivyoelekea kwenye Manasik, baadhi ya viongozi wengine waliamini kuwa ushawishi wao na nafasi zao kijamii vitadhoofika.,Kumbuka hii ni biashara kama biashara nyingine ,hivo wanaibiana wateja(maamuma)


4. Fitna na Mashindano – Badala ya mshikamano, chuki binafsi na mashindano ya kijamii yakawa chanzo cha maombi ya mabaya. Hatimaye Sheikh Njuki akajikuta akifanyiwa Albadil Dua ya kumuombea apate ajali ili kuua taasisi yake.


Pumzika kwa Amani Sheikh Njuki
Muislam ni ushetani
 
Mkifika middle east "UPENDO" huwa hamtaki hata kulitamka , ili kumlinda netanyahu noma sana
Wapalestina ni wavamizi hata Quran yenu inajua

Mnawachokoza waisrael mnataka wawachekee
 
Back
Top Bottom