TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

Sema walumtupia jini , au kama ni hiyo swala basi alikuwa na mabaya yake.
Au ni siku yake ilifika.

Rest Easy Shehe.
Kweli kabisa, we mkristo au mwislamu, Ibilisi au msjini hayawezi kukuchezea kama imani yako na matendo ni mema.
 
Maandamano 29/10/2025 tutoke kwa wingi
Siku ya uchaguzi hakutakua na maandamano mkuu,

Kama tunataka maandamano tuanze kujijenga kwa taratibu,

Yeyote anaeshauri watu waandamane tarehe ya uchaguzi kuwa naye makini mkuu ni tapeli,

Muds muafaka wa kutafuta mageuzi ni baada ya uchaguzi
 
Hawa jamaa kama huwajui huwez kujua mengi, Albdali ni sawa na uganga ,na MASHEIKH wale waganga wanatumia albadili ,

Hapo unatumiwa Jini ,kumbuka wenzetu wanafuga majini
Ndivyo unavyofanya popo mchafu wewe ??
 
Kama Yuda,alivyomuombea Yesu,afe,kwa kulipwa vipende vya fedha,baada ya kuomba,na Yesu yakampata ya kusulubiwa na kuuliwa.

Wewe Mjinga Yuda aliomba kwa Mungu yupi au mashetani yapi? Yuda alimsaliti Yesu physically na akauwawa physically
 
Hawa jamaa kama huwajui huwez kujua mengi, Albdali ni sawa na uganga ,na MASHEIKH wale waganga wanatumia albadili ,

Hapo unatumiwa Jini ,kumbuka wenzetu wanafuga majini
Majini ni waumini wenzao na ndugu zao wanamwabudu mola wao ambaye alisilimishwa na Muddy. Muddy alisikia ulimi wa baridi wa shetani ukimlamba
 
Sheikh maarufu Rashid Njuki amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupata ajali ya gari. Tukio hili limetikisa jamii ya Kiislamu nchini na kuibua maswali mazito baada ya kusambaa kwa sauti na ushuhuda kwamba Sheikh huyo alifanyiwa Albadil (Dua ya mabaya) na baadhi ya wenzake waliokuwa wakipingana naye.

Hapa nitaweka video 👇👇
View attachment 3460715

Katika sauti hiyo, Sheikh Njuki mwenyewe alieleza wazi wazi kuwa alifanyiwa Dua maalum iliyolenga apate ajali ili taasisi yake ya Manasik ife. Na kwenye hiyo video Kuna mmoja alifanikiwa kuingia Dua iliposomwa na akarekodi.

Hali hii imechochea hisia kali mitandaoni na mijadala mikubwa kuhusu nafasi ya maombi ya mabaya ndani ya dini hii, nimewahi kuleta sana masomo na makala kuhusu hii dini inayotumia Majini kuua ,n k

Sheikh Njuki amezikwa leo jioni katika Mkoa wa Manyara mara baada ya Swala ya Magharibi, kwa wingi wa waumini, ndugu na marafiki waliomiminika kumuaga safari yake ya mwisho.

Mazishi yake yameacha simanzi kubwa, huku wengi wakitafakari kauli yake ya mwisho kuhusu Dua aliyosomewa, ambayo leo imetimia kwa njia ile ile aliyotabiriwa ( ajali ya gari.)


TAASISI YA MANASIK

Taasisi ya Manasik, iliyoanzishwa na Sheikh Njuki, ilikuwa na jukumu kubwa la kufundisha Waislamu taratibu za Hija na Umra kwa vitendo.

Ilitoa elimu kwa waumini wanaojiandaa kuelekea Makka, ikiwafundisha namna ya kutekeleza ibada mbalimbali kama tawaf, sa’i, wukufu Arafah na kurusha mawe (jamaraat),

Ilikuwa ikitambuliwa kama kituo maalum cha semina, mihadhara na mafunzo ya Hija kwa njia rahisi na za kisasa.

Kwa muda mfupi tu, taasisi hii ilianza kupata umaarufu mkubwa, ikivutia waumini kutoka maeneo mbalimbali nchini., huyu jamaa akaanza kupata pesa ,kwahiyo chanzo ni CHUKI


KWANINI ILIPIGWA VITA?

1. Wivu na Ushawishi Umaarufu wa Sheikh Njuki na taasisi yake ulionekana tishio kwa madrasa na taasisi nyingine zilizokuwa zikijihusisha na elimu ya Hija na Umra.,(kumbuka hijja na Umra ni biashara za watu ,nishaeleza sana Kuna Uzi nilileta Mods wakauondoa ,nilionesha jinsi watu wanavyopiga pesa kwa hii biashara ,jinsi Waarabu wanavyoingiza mabilion na mabilion kupitia mfuko wa PIF)


2. Tofauti za Kiiitikadi – Wapo masheikh na walimu waliokuwa na mitazamo tofauti ya kifiqhi. Tofauti hizo zilipelekea kumtazama kama mpinzani na sio mshirika.,


3. Hofu ya Kupoteza Wafuasi – Kadri waumini walivyoelekea kwenye Manasik, baadhi ya viongozi wengine waliamini kuwa ushawishi wao na nafasi zao kijamii vitadhoofika.,Kumbuka hii ni biashara kama biashara nyingine ,hivo wanaibiana wateja(maamuma)


4. Fitna na Mashindan2o – Badala ya mshikamano, chuki binafsi na mashindano ya kijamii yakawa chanzo cha maombi ya mabaya. Hatimaye Sheikh Njuki akajikuta akifanyiwa Albadil Dua ya kumuombea apate ajali ili kuua taasisi yake.


Pumzika kwa Amani Sheikh Njuki
Huo ni uchawi kama uchawi
 
Majini ni waumini wenzao na ndugu zao wanamwabudu mola wao ambaye alisilimishwa na Muddy. Muddy alisikia ulimi wa baridi wa shetani ukimlamba
Wafuasi wa Lisu washafanya kazi yao.wanatafuta visingizio tu,
 
Kila lugha,inaitq jina la Mungu kwa lugha husika hata wapo waafrika wanamuita Mungu,Mrungu
Sasa kila jamii si ina mungu wake? Utawatifautishaje bila kutaja majina yao? Mfano, ni kuwa kila nchi ina Rais, sasa utajuaje kuwa hapa anayezungumzwa ni Rais wa USA pasipo kumtaja jina lake
 
Neno Allah ni neno la kiarabu,linaaanya Mungu,hata biblia za kiarabu,limeandikwa jina hilo kuwa makini.Ni sawa na Kusema God(english),Kwa hiyo fala ni wewe,usiyejua kama Mungu anaitwa majina tofauti katika Lugha tofauti.
Mkuu neno Mungu kwa kiarabu ni "ilah" na sio "Allah".....Allah ni jina specific la mungu wa waarabu na waislamu...rejea "la ilah, ila allah"
 
Wafuasi wa Lisu washafanya kazi yao.wanatafuta visingizio tu,

Itakuwa ulinyonywa ulimi na muddy ukiwa mdogo kama Hassain na Hussein. Mi huwa natafuta sababu ya kuweza waelimisha watu Dini ya Kiislamu
Haya soma hapa.

1. Riwaya ya Husayn
Imepokelewa:

“Mtume wa Mwenyezi Mungu alimnyonya ulimi Husayn bin Ali, na hakuona chochote baada ya hapo isipokuwa kheri.”
— Imepokelewa katika: Kanz al-‘Ummāl (Al-Muttaqi al-Hindi), Juzuu ya 6, Hadithi 37711.

2. Hassan

“Mtume alimchukua Hasan bin Ali, akamnyonya ulimi wake. Akamwambia: ‘Ewe Mola! Nampenda, basi mpenda na umpende anayempenda.’”
— Imetajwa katika: Musnad Ahmad bin Hanbal, Juzuu ya 5, ukurasa 356.

3. Riwaya nyingine

“Mtume alimchukua Husayn akiwa bado mchanga, akaweka ulimi wake mdomoni mwa Husayn, na mtoto akawa ananyonya. Wakasema: Hatukuona mtoto mwenye tabia njema zaidi ya Husayn.”
— Imetajwa na Ibn Sa’d katika Tabaqat al-Kubra, Juzuu ya 1, ukurasa 100.
 
Si kweli waislamu mnaongoza
Wakristo wanaongoxa,Yuda alitumia majini,na uchawi,ili Yesu aonekqne na auliwe.na ndio Yesu pia akatumia majini,kwa kusema,kabla jogoo hajawika,Yuda utanisaliti,na kweli alipomsaliti tu jogoo akawika.Wachawi wengi hutumia jogoo kuwika kwa kutabiri mambo yao
 
Albadir ni ushirikina na siyo katika uislam
Hii imaitwa Ahal libadir(watu waliopigana vita vya Badri),unataja majina ya waliopigana hivyo vita,na mabays waliyopata,yawafike maadui zako,kama yslivyowafika hao.Hii katika uislamu hakuna,kuombeana mabaya.
 
nimewahi kuleta sana masomo na makala kuhusu hii dini inayotumia Majini kuua ,n k
Mimi pia uzi wangu wa juzi kuwa wakristo na mayahudi hawajui thamani hali ya elimu umefutwa.
Wamefuta uzi muhimu sana kwa kuielewa elimu na historia ya chanzo chake.
 
Back
Top Bottom