TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

1). MAJINI WANAJIELEWA, WANADAMU WANAJIELEWA KWELI?.
2). KAMA MAJINI WANAJIELEWA NI WA MOTONI, QURANI YA MUHAMMAD INAWAFAIDI NA NINI?.
3). QURANI INAWAONDOLEA MAJINI UBAYA WAO?.
4). JE, MNAELEWA UHUSIANO WA MAJINI NA WAISLAMU NI KUWA NA "NABII MOJA", MUHAMMAD ?View attachment 3460903View attachment 3460905
Majini wana uhudiano na wakristo,ndio maana Yuda,aliwatumia,kumtafuta Yesu,alikojificha,ili asisulubiwe,lakini akasulubiwa kw kupitia majini ya Yuda
 
Yesu alibebwa juu kwa juu na majini ni wenzake Yesu hao
SHETANI NA MAJINI/PEPO WACHAFU NI WAISLAM:

Tuanze na Shetani, Je Shetani ni muislam
Ukisoma KITABU CHA ASILI YA MAJINI kilichoandikwa na waislam wenyewe,
Ukurasa Wa 20, kinasema;

➡"Ni bahati mbaya kwamba Adamu na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha shetani na wanae kuuomba msamaha kwa mwenyezi Mungu na kuwa Waislam, ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha shetani akawa muislamu…"⬅

Hicho ni kitabu kilichoandikwa na Waislam wenyewe, kinasema Shetani ni Muislam, na aliyemsilimisha ni mtume
Muhammad! ✔

Na Tunaarifiwa kwamba, Shetani alikula kiapo cha kuwa Muislam, akiwa msikitini, au kwa maelezo mengine, ni kwamba Shetani alitamka Shahada, ambayo ni hatua ya kwanza wakati wa kusilimu!

Nanukuu, ➡"Shet'ani kwa mara ya kwanza ameapa kiapo cha utii (SHAHADA) kutoka Abu Bakr katika msikiti Na Shet'ani alisilimu na kumfuata Allah".⬅
(Israr-e-Muhammad, Page No 30)

Vilevile, kama ulikuwa hujui, Allah ndiye Mola mlezi wa Shetani! Ukisoma Quran 15:39, Shetani anamwita Allah, MOLA WANGU MLEZI, Yaani kwa unyenyekevu kabisa, ➡"Akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote"⬅ Qur'an 15:39

(⬆ Huyo ni Shetani wakiwa wanafunga mkataba na Mola wake, Allah anamtuma Shetani kuja kutupoteza hapa duniani, na Shetani anaitikia wito huo, kwamba
atahakikisha anatupoteza wote! ⬆)

Sasa Ikiwa Allah ndiye mola mlezi wa Shetani, mpaka wanapeana majukumu, huo ni ushahidi tosha kabisa Kuwa Shetani ni Muislam! ✔

Kama haitoshi, Quran inasema KILA KITU ULIMWENGUNI NI KIISLAM, KILA KITU
KIMESILIMU. (HADI SHETANI) ⬇

Nanukuu, ⬇
➡Je, wanataka dini isiyo kuwa ya Mwenyezi Mungu, na hali KILA KILICHOMO MBINGUNI NA KATIKA ARDHI KIMESILIMU kwa kumt'ii Yeye kikipenda kisipende, na kwake Yeye watarejeshwa?⬅
Quran 3:83

Hivyo hadi Shetani ni muislam! Apende
asipende, ni Muislam! ⬆ 😄 ✔

➡Sasa tuje kwa upande wa MAJINI AU
PEPO WACHAFU: ⬇

Je, Majini/pepo wachafu/mashetani ni Waislam? ⬇

FB_IMG_1754821621859_1.jpg
 
Poleni sana ndugu zetu mliompoteza Sheikh wenu.
Walokole tunachekwa, lakini tuna kitu muhimu sana wasichokijua watu. Ukifanya dua ya kuniombea nife kwa ajali, unapoteza tu muda wako. Ukiomba niwe kichaa, utasubiri sana. Isitoshe hata ukiweka sumu kwenye mboga ili nife, hiyo sumu haitaniua, itakuwa neutralized kwa Jina la Yesu.
Kwanini uombee mlokole Dua awe kichaa wakati hapo walipo tayari ni machizi?
 
Hapana mkuu, Allah ni jina la cheo - Mungu wakati, Allahu ni jina halisi la huyo mungu. Mfano, Mungu wa wakristo jina lake anaitwa Yehova, ndivyo ambavyo Mungu wa waislamu anaitwa Allahu.
Hilo neno Yehova ni lugha yavkiebrania kwa masna ya Mungu,tumis akili.Waebrania wanamuita Mungu Yehova,hiuo Ye kwa masharika ya kati,ni sawa na kusema the kwa English,waarabu wao wanatumia Ya,
 
Majini wana uhudiano na wakristo,ndio maana Yuda,aliwatumia,kumtafuta Yesu,alikojificha,ili asisulubiwe,lakini akasulubiwa kw kupitia majini ya Yuda
MUHAMMAD ALIMSILIMISHA SHETANI, na akawa Muislam.

Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya juhudi za kumwezesha Shetani na kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu. Ni Mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha Shetani akawa Muislam. Pia tunaweza kuelewa kwamba baadhi ya watoto wa majini walisilimu tangu wakati wa uhai wa Mtume kwa kusikiliza kisomo cha Qur'an Tukufu.

{ASILI YA MAJINI, uk 20}

Sawazisha na hadithi hii ya Mtume kutoka, Sahih Al Bukhar.

Mlango 33: Kusoma kwa Sauti katika sala ya Asubuhi na Kumsomea Jini.

259. Hadithi ya Bin 'Abbas (r.a) amesema, "Mtume (s.a.w) aliondoka na kundi la baadhi ya masahaba zake wakikusudia kwenda soko la Ukadhi; na MASHETANI wakawekewa kizuizi katika kuzipata habari za mbinguni na wakawa wanapigwa na vimondo, kwa hiyo MASHETANI wakarudi kwa kaumu zao, wakaulizwa, "Kulikoni?" Wakajibu, "Tumezuiliwa kuzipata habari za mbinguni na tunapigwa na vimondo." Wakasema, "Hakuna kilichowazuia kati yenu na habari za mbinguni isipokuwa kuna kitu kimetokea. Hebu tembeeni Mashariki na Magharibi yake, angalieni nini kilichozuia kati yenu na habari za mbinguni." Wakaondoka, wale walioelekea upande wa Tihama kwa Mtume (s.a.w), naye akiwa 'Nakhla, wanaelekea soko la Ukadhi, wakamkuta anasali pamoja na masahaba wake Sala ya Alfajir, na walipoisikia Qur'an wakakaa wakaisikiliza, wakasema, 'Wallahi hiki ndicho kilichozuia kati yetu na habari ya mbinguni. 'Waliporudi kwa kaumu zao, wakasema, "Ee nyinyi kaumu zetu! "Hakika tumeisikia Qur'an inashangaza, inaongoza kwenye uongofu, tukaamini na hatutamshirikisha Bwana wetu na kitu chochote." Allah akamteremshia Mtume wake, "Sema nimeletewa wahyi kuwa limesikiliza kundi la majini."(72:1) Hakika alichopelekewa ni kauli ya majini." (Bukhari, Hadithi Na 740, Juzuu1)

Iko hivyo tu, Shetani ni Muislam.

Na waisalam mnaswali na Shetani na kaumu zake.

Na ndio maana mwisho wa swala mnasalimia kulia (Asalaam Alyeikhum). na kusalimia Kushoto (Asalaam Alyeikhum.
 
Binafsi nafahamu Nguvu ya Albadiri, nimekulia Uswahili, Kuna miaka ya Nyuma sehemu nilipokulia kulikua na Tajiri mmoja alikua akimiriki Canter kadhaa za Mchanga, miongoni wa Madereva wa Gari yake mmoja kulikua na Mzee mmoja akitoka mtaani kwangu kabisa.

Yule Mzee alikua akipaki gari maeneo Fulani ya mtaani, ghafla siku Moja akakuta Ile Canter ipo juu ya Matofari, na hakuna Matairi, yote 6 yameibiwa.

Baada ya muda yule Mzee alichapisha Matangazo akaweka Kila sehemu, akitoa siku 7 mtu aliyeiba arudishe, pia alipita yeye mwenye Vijiweni akitoa taarifa Kwa mdomo, Binafsi nilikua Bado Kijana Mdogo, so niliona harakati zake Kwa macho, nikisoma Matangazo yake mtaani.... Mwishoni mwa Tangazo lake akasema ikipita siku 7 kitachotokea tusilaumiane.ita

Mtaani kukawa na fununu kwamba Kijana wa Mzee mmojawapo wa Mtaani Kwa kushirikiana na wenzake ndiyo waliiba Yale Matairi, na sote tunamjua huyo Kijana na baadhi ya Marafiki zake wakiwa ni Wakubwa mbali kwangu Enzi hizo.

Baada ya siku 7 kupita hajui ni wapi yule Mzee alienda ila aliporudi mtaani kukaanza kutokea Misiba ya Vijana, mmoja mpaka mwingine, na Mtu wa mwisho ambaye alikua ndo in charge wa Wizi huo ambao Watu wote tunamfahamu, akawa Mwendawazimu mpaka muda huu, na Bado yupo mtaani, na ratiba ya mizunguko yake mpaka Sasa ni Barabarani, barabara kubwa ya mtaani.

Swali Kwa Masheikh, Mimi nilikua najua Albadir huwapata ama kumpata Mtu aliyefanya Ubaya ni kama njia ya kulipa kisasi... Je! Albadir inaweza kumpata hata mtu ambaye hajafanya Ubaya kwa Mtu ila imesomwa tu Kwa Chuki...?
 
MUHAMMAD ALIMSILIMISHA SHETANI, na akawa Muislam.

Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya juhudi za kumwezesha Shetani na kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu. Ni Mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha Shetani akawa Muislam. Pia tunaweza kuelewa kwamba baadhi ya watoto wa majini walisilimu tangu wakati wa uhai wa Mtume kwa kusikiliza kisomo cha Qur'an Tukufu.

{ASILI YA MAJINI, uk 20}

Sawazisha na hadithi hii ya Mtume kutoka, Sahih Al Bukhar.

Mlango 33: Kusoma kwa Sauti katika sala ya Asubuhi na Kumsomea Jini.

259. Hadithi ya Bin 'Abbas (r.a) amesema, "Mtume (s.a.w) aliondoka na kundi la baadhi ya masahaba zake wakikusudia kwenda soko la Ukadhi; na MASHETANI wakawekewa kizuizi katika kuzipata habari za mbinguni na wakawa wanapigwa na vimondo, kwa hiyo MASHETANI wakarudi kwa kaumu zao, wakaulizwa, "Kulikoni?" Wakajibu, "Tumezuiliwa kuzipata habari za mbinguni na tunapigwa na vimondo." Wakasema, "Hakuna kilichowazuia kati yenu na habari za mbinguni isipokuwa kuna kitu kimetokea. Hebu tembeeni Mashariki na Magharibi yake, angalieni nini kilichozuia kati yenu na habari za mbinguni." Wakaondoka, wale walioelekea upande wa Tihama kwa Mtume (s.a.w), naye akiwa 'Nakhla, wanaelekea soko la Ukadhi, wakamkuta anasali pamoja na masahaba wake Sala ya Alfajir, na walipoisikia Qur'an wakakaa wakaisikiliza, wakasema, 'Wallahi hiki ndicho kilichozuia kati yetu na habari ya mbinguni. 'Waliporudi kwa kaumu zao, wakasema, "Ee nyinyi kaumu zetu! "Hakika tumeisikia Qur'an inashangaza, inaongoza kwenye uongofu, tukaamini na hatutamshirikisha Bwana wetu na kitu chochote." Allah akamteremshia Mtume wake, "Sema nimeletewa wahyi kuwa limesikiliza kundi la majini."(72:1) Hakika alichopelekewa ni kauli ya majini." (Bukhari, Hadithi Na 740, Juzuu1)

Iko hivyo tu, Shetani ni Muislam.

Na waisalam mnaswali na Shetani na kaumu zake.

Na ndio maana mwisho wa swala mnasalimia kulia (Asalaam Alyeikhum). na kusalimia Kushoto (Asalaam Alyeikhum.
Yesu pia aliwatska majimi yaimgie kwenye ukristo wajamgomea,ndio akawaingiza kwa nguruwe,kwa kuvhaguwa who wenyewe majini,wakasema hatutaki ukristo bora tunigie kwa nguruwe,kuliko kwa wakristo Kasome biblia
 
SHETANI NA MAJINI/PEPO WACHAFU NI WAISLAM:

Tuanze na Shetani, Je Shetani ni muislam
Ukisoma KITABU CHA ASILI YA MAJINI kilichoandikwa na waislam wenyewe,
Ukurasa Wa 20, kinasema;

➡"Ni bahati mbaya kwamba Adamu na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha shetani na wanae kuuomba msamaha kwa mwenyezi Mungu na kuwa Waislam, ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha shetani akawa muislamu…"⬅

Hicho ni kitabu kilichoandikwa na Waislam wenyewe, kinasema Shetani ni Muislam, na aliyemsilimisha ni mtume
Muhammad! ✔

Na Tunaarifiwa kwamba, Shetani alikula kiapo cha kuwa Muislam, akiwa msikitini, au kwa maelezo mengine, ni kwamba Shetani alitamka Shahada, ambayo ni hatua ya kwanza wakati wa kusilimu!

Nanukuu, ➡"Shet'ani kwa mara ya kwanza ameapa kiapo cha utii (SHAHADA) kutoka Abu Bakr katika msikiti Na Shet'ani alisilimu na kumfuata Allah".⬅
(Israr-e-Muhammad, Page No 30)

Vilevile, kama ulikuwa hujui, Allah ndiye Mola mlezi wa Shetani! Ukisoma Quran 15:39, Shetani anamwita Allah, MOLA WANGU MLEZI, Yaani kwa unyenyekevu kabisa, ➡"Akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote"⬅ Qur'an 15:39

(⬆ Huyo ni Shetani wakiwa wanafunga mkataba na Mola wake, Allah anamtuma Shetani kuja kutupoteza hapa duniani, na Shetani anaitikia wito huo, kwamba
atahakikisha anatupoteza wote! ⬆)

Sasa Ikiwa Allah ndiye mola mlezi wa Shetani, mpaka wanapeana majukumu, huo ni ushahidi tosha kabisa Kuwa Shetani ni Muislam! ✔

Kama haitoshi, Quran inasema KILA KITU ULIMWENGUNI NI KIISLAM, KILA KITU
KIMESILIMU. (HADI SHETANI) ⬇

Nanukuu, ⬇
➡Je, wanataka dini isiyo kuwa ya Mwenyezi Mungu, na hali KILA KILICHOMO MBINGUNI NA KATIKA ARDHI KIMESILIMU kwa kumt'ii Yeye kikipenda kisipende, na kwake Yeye watarejeshwa?⬅
Quran 3:83

Hivyo hadi Shetani ni muislam! Apende
asipende, ni Muislam! ⬆ 😄 ✔

➡Sasa tuje kwa upande wa MAJINI AU
PEPO WACHAFU: ⬇

Je, Majini/pepo wachafu/mashetani ni Waislam? ⬇

View attachment 3460918

Mbona Pepo mchafu wewe si muislamu ?? Au uko njiani kusilimu ??
 
Back
Top Bottom