TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

Kafa yeye na mkewe
Lakini kafa kwa sababu ya ajali.
Kutoka magugu babati mpaka chemba ni 2hr :21m
Katoka magugu saa 12:30 jioni saa mbili anapata ajali tayari kashaipita chemba kwa maana katembea saa moja na nusu umbali ambao alitakiwa kutembea masaa mawili.
Speed speed ajali kama ajali zingine.
Punguzeni uzushi Albadiri haijamuua.
Albadili imesema afe kwa ajali na imetokea kweli
 
hizo albadili munazijua nyinyi
Masheikh wako wanasema na tunaona wakifanya shirk
FB_IMG_1756452967951.jpg
 
Neno Allah ni neno la kiarabu,linaaanya Mungu,hata biblia za kiarabu,limeandikwa jina hilo kuwa makini.Ni sawa na Kusema God(english),Kwa hiyo fala ni wewe,usiyejua kama Mungu anaitwa majina tofauti katika Lugha tofauti.
Alimaanisha Allahu
 
Kama Yuda alivyofuga majini na kuyatumia,kumuua Yesu.
Quruani 46:29. inasema , nawakati tulipo waletea , kundi la majini kuja kwako kusikiliza Quruani. basi walipo ihudhuria walisema isikilizeni, na ilipokwisha somwa walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya. ( hili neno kaumu ni umati wa watu flani

ina maana waisilamu wote wanaonywa na majini sasa swali langu je hawa majini wataenda peponi kupewa mabikra72? maana wako katika dini ya haki iliyonyooka.

naomba mnipe jibu kimaandiko acheni porojo
 
Toka hiyo dini ya kikirusto,iliyotumia majini,kumuua Yesu kwa kupitia kwa Yuda,ikiwa Yesu aliweza kuuliwa,na kubebwa na majini juu juu mpaks mlimani,wewe ni nani wa kubaki huko,kwenye dini ya majini yaliyomuua Yesu kiptia kwa Yuda
Ulimwengu wa majini uk 30

"Majini hupenda majina matukufu kama Sharif, Shekhe, Walii, Ruhan.....na Wanapenda athana, thikri, qur'an"

Waislamu mna uhusiano gani na majini?
Ama waislamu wote ni mandugu?
 
hamna hiyo kitu albadili hata useme nini

Majini Ni Malaika wa shetani Na hayo majini Ni ndugu za waislamu Soma Quran 72:14

Sasa waislamu wote pamoja Na Majini Ni Malaika wa shetani poleni sana waislamu
 
hizo albadili munazijua nyinyi
Mimi na albadili wapi na wapi ndugu yangu mimi ni wale tulioamriwa tukipigwa shavu hili tugeuze na lengine sasa nitayajua wapi mimi hayo mambo?

Ndiyo nikakuuliza wewe albadili lazima kumuombea mtu mabaya tu au hata mema unaweza kumuombea?
 
Majini ( MAPEPO) ni waislamu. Quran 72;14
Kadome Biblia Yesu slibebwa na mjini,juu juu mpaka mlimani.Yesu alishindwa kujiokoa kwa majini ya mwanafunzi wake Yuda,akaonekana alikojificha,wakamkamata,wakamtesa,wakamsulubu wakamuua.Chzea majini wewe sio mchezo.Mpaka leo Yuda,anaitwa msaliti,neno Salita,asili yake ni jina la mfuga majini,kwa hiyo Yuda,alikuwa anafuga majini
 
1). MAJINI WANAJIELEWA, WANADAMU WANAJIELEWA KWELI?.
2). KAMA MAJINI WANAJIELEWA NI WA MOTONI, QURANI YA MUHAMMAD INAWAFAIDI NA NINI?.
3). QURANI INAWAONDOLEA MAJINI UBAYA WAO?.
4). JE, MNAELEWA UHUSIANO WA MAJINI NA WAISLAMU NI KUWA NA "NABII MOJA", MUHAMMAD ?
FB_IMG_1756708491049.jpg
FB_IMG_1756708502857.jpg
 
Majini Ni Malaika wa shetani Na hayo majini Ni ndugu za waislamu Soma Quran 72:14

Sasa waislamu wote pamoja Na Majini Ni Malaika wa shetani poleni sana waislamu
Yesu alibebwa juu kwa juu na majini ni wenzake Yesu hao
 
Huenda
Kwa hiyo mkuu na ajali zingine huwa ni alibadri inasema?
Huyu si kaombewa ALBADIL afe kwa ajali na aliipost hiyo video akiombewa hivo?

Unataka ushahidi gani
 
Neno ni hilo hilo kwrnye Biblia za kiarabu,zikomaanisha Mungu.Kila lugha neno Mungu,lina jina lake.
Hapana mkuu, Allah ni jina la cheo - Mungu wakati, Allahu ni jina halisi la huyo mungu. Mfano, Mungu wa wakristo jina lake anaitwa Yehova, ndivyo ambavyo Mungu wa waislamu anaitwa Allahu.
 
Back
Top Bottom