bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,853
hamna hiyo kitu albadili hata useme niniUnabishana na marehemu aliyepost video akiombewa albdil?
hamna hiyo kitu albadili hata useme niniUnabishana na marehemu aliyepost video akiombewa albdil?
Ondoka huko kwenye majini ya Yuda,aliyepewa vipande vya fedha,ili atumie majini yake,awaonyeshe maadui wa Yesu,alipo Yesu.Wakamuona na kumsulubu na kumtesa,na kunuua.Juu ya kuwa aliomba kikombe chav umauti , kimuepuke lakini hakikumueupuka,kutokana na nguvu za majini ya Yuda .Mpango wa Mungu ulikuwa Yesu afe kwa ajili ya dhambi za ulimwengu (Isaya 53:5, Matendo 2:23).
Nia ya Yuda ilikuwa tamaa na upendo wa fedha (Mathayo 26:14-15, 1 Timotheo 6:10).
Mungu hakuwahi kuagiza rushwa; bali Yuda kwa chaguo lake mwenyewe akakubali pesa na akamsaliti Yesu. Hilo ndilo linafanya aitwe msaliti.
Mfano rahisi, ndugu za Yusufu walimuuza utumwani kwa tamaa na wivu (Mwanzo 37:28), lakini Mungu akageuza tukio hilo kuwa njia ya kuokoa taifa lote la Israeli (Mwanzo 50:20).
Hii haimaanishi kuuza Yusufu kulikuwa tendo jema Bali ilikuwa dhambi ila Mungu hutumia hata uovu wa watu kutimiza mpango wake mkuu.
👉 Hivyo basi, wokovu wa Kikristo haukuletwa kwa “rushwa,” bali kwa damu ya Yesu Kristo.
Rushwa ya Yuda ilikuwa dhambi yake binafsi, na ndiyo maana anabaki kuitwa msaliti, si shujaa.
KARIBU KWA YESU TOKA KWENYE MAJINI
Hizi sura ndio zinatumika kurogea watuhamna hiyo kitu albadili hata useme nini
Kama ilivyo Biblia na Injili ya Yesu ,inavyofundisha majini,ndio aliyatumia Yuda,kuminyesha Yesu yuko wapi,na kukamatwa na kuteswa na kusulubiwa na kuuliwa.Quran na Hadith na vitabu vyenu vinafundisha uchawi na kuita majini
MAJINI WANATUMIA WAISLAMU NA MUHAMMAD ALIYASILIMISHA KULE MECCAOndoka huko kwenye majini ya Yuda,aliyepewa vipande vya fedha,ili atumie majini yake,awaonyeshe maadui wa Yesu,alipo Yesu.Wakamuona na kumsulubu na kumtesa,na kunuua.Juu ya kuwa aliomba kikombe chav umauti , kimuepuke lakini hakikumueupuka,kutokana na nguvu za majini ya Yuda .
Kama Yuda alivyoitumia Injili,kwa kuonekana Yesu na kusulubiwa na kuuliwa,kwa vipande vya fedhaHizi sura ndio zinatumika kurogea watu
Ayatul Kursi (Al-Baqarah 2:255) na
Sura Al-Falaq (113) na An-Nas (114)
Wanatumia hii mistari, lakini wanaitumia kwa nia ya kumdhuru mtu
Wanaamini kwamba kuandika au kusema aya fulani mara 7, 21, 40, au 100 kunaweza kuumiza mtu.
Hiyo tamaa ya fedha ndio majini yenyewe.Yesu alibebwa juu kwa juu na majini walampandisha mlimani,na kumwambia tuwe na wewe,tutakups vyote hivi.Kwa hiyo Yesu alishindwa na majini,wakambeba juu kwa juu.MAJINI WANATUMIA WAISLAMU NA MUHAMMAD ALIYASILIMISHA KULE MECCA
Yuda hakutumia “majini” au nguvu za ajabu; alimsaliti Yesu kwa tamaa ya fedha (Mathayo 26:14-16).
Kifo cha Yesu hakukuwa matokeo ya uchawi, bali kilitimia mpango wa Mungu wa wokovu (Isaya 53:5; Yohana 10:17-18).
Yesu aliomba kikombe cha mauti kimuepuke kama mwanadamu aliyebeba mateso, lakini alitii mapenzi ya Baba kwa hiari yake, akitimiza unabii na kuleta wokovu kwa wanadamu.
MAJINI ni waislamu Mzee,Kama ilivyo Biblia na Injili ya Yesu ,inavyofundisha majini,ndio aliyatumia Yuda,kuminyesha Yesu yuko wapi,na kukamatwa na kuteswa na kusulubiwa na kuuliwa.
Atakuwa Sule kamtupia majini.Kafa yeye na mkewe
Lakini kafa kwa sababu ya ajali.
Kutoka magugu babati mpaka chemba ni 2hr :21m
Katoka magugu saa 12:30 jioni saa mbili anapata ajali tayari kashaipita chemba kwa maana katembea saa moja na nusu umbali ambao alitakiwa kutembea masaa mawili.
Speed speed ajali kama ajali zingine.
Punguzeni uzushi Albadiri haijamuua.
Unatia huruma kupamabania hii dini ya majini na shirkiHiyo tamaa ya fedha ndio majini yenyewe.Yesu alibebwa juu kwa juu na majini walampandisha mlimani,nq kunwambia tuwe na wewe,tutakups vyote hivi.Kwa hiuo Yesu alishindwa na majini,wakambeba juu kwa juu.
Mzee mbona unatia sana huruma ,unapambania dini ya majiniHiyo tamaa ya fedha ndio majini yenyewe.Yesu alibebwa juu kwa juu na majini walampandisha mlimani,na kumwambia tuwe na wewe,tutakups vyote hivi.Kwa hiyo Yesu alishindwa na majini,wakambeba juu kwa juu.
Nime kuelewa mkuuHawa jamaa kama huwajui huwez kujua mengi, Albdali ni sawa na uganga ,na MASHEIKH wale waganga wanatumia albadili ,
Hapo unatumiwa Jini ,kumbuka wenzetu wanafuga majini
Yuda alitumia vipande vya fedha,akamroga Yesu,akaonekana qlikojificha,akachukuliwa akateswa,akasulubiwa,akauliwaHizi sura ndio zinatumika kurogea watu
Ayatul Kursi (Al-Baqarah 2:255) na
Sura Al-Falaq (113) na An-Nas (114)
Wanatumia hii mistari, lakini wanaitumia kwa nia ya kumdhuru mtu
Wanaamini kwamba kuandika au kusema aya fulani mara 7, 21, 40, au 100 kunaweza kuumiza mtu.
Hata wakristo wanatumia majini kama Yuda,alivyotumia majini,kwa kuonekana Yesu,akakamatwa akateswa,akasulubiwa akauliwa.Yuda kwa kazi hiyo ya majini alilipwa vipande vya fedha.Hawa jamaa kama huwajui huwez kujua mengi, Albdali ni sawa na uganga ,na MASHEIKH wale waganga wanatumia albadili ,
Hapo unatumiwa Jini ,kumbuka wenzetu wanafuga majini