TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

Swali ni je hiyo Alibadiri mnaiomba kwenda Jini au Karumanzila yupi? Maana sisi wakristo hatuamini katika maombi ya kumtoa mtu roho, tunaamini huo ni ushetani
Wakati ukifika utaondoka tu.Yesu aliombewa maombi na nani,mbona alisulubiwa,na kuuliwa,na aliomba kwa Mungu wake,kikombe cha umauti,kimuepuke lakini hakikumuepuka.
 
Ni sahihi kabisa, alipata ajali kama ajali nyingine.

Huyu anayejiita hamis ndiyo fitna mkubwa wa dini ya kiislamu kwa kujidai kuandika historia ambazo haziko sahihi
 
Tambua hata Mimi ukinisomea inadunda

Sio kila mtu ni mwepesi Mzee,wengine kama Sisi inakurudia wewe
 
Neno Allah,ni neno la kiarabu,likimaanisha Mungu,hata katika Biblia za kiarabu,limeandikwa Allah(Mungu),kama kusema God(English).Kwa hiyo fala ni wewe,usiyejua kama kila Lugha,inatamka Mungu kwa kikabila chao.
Allah sio Mungu, Allah ni jini kuu kati ya majini 360 ya kwenye jiwe jeusi.
 
Albadir ni uchawi, sema amekufa baada ya kurogwa
 
Neno Allah ni neno la kiarabu,linaaanya Mungu,hata biblia za kiarabu,limeandikwa jina hilo kuwa makini.Ni sawa na Kusema God(english),Kwa hiyo fala ni wewe,usiyejua kama Mungu anaitwa majina tofauti katika Lugha tofauti.
Allah ni cheo sio jina la Mungu acha UPOTOSHAJI, hata shetani kaitwa Allah kwenye biblia ya kiarabu ,maana biblia inamuita shetan mungu wa Dunia hii

Mungu kujitofautisha na miungu wengine kwa jina lake

Allah sio jina ,ni cheo tu sawa na GOD ni cheo ,sawa na RAIS
 
Kuhusu kusomewa Dua mbaya Kisha unakufa hiyo kitu hakuna niliona msikiti flani waliiba spika za azana na vitu vingi vingi wakatangaza siku ya kusoma Dua wakasoma Dua ila wapi na mwizi kapata kazi migodini mambo yanaenda
 
Wakati ukifika utaondoka tu.Yesu aliombewa maombi na nani,mbona alisulubiwa,na kuuliwa,na aliomba kwa Mungu wake,kikombe cha umauti,kimuepuke lakini hakikumuepuka.
YESU ALITABIRIWA

Isaya 53
1 Ni nani aliyesadiki habari tuliyoileta? Na mkono wa Bwana amefunuliwa nani?

2 Maana alikua mbele zake kama mche mwororo, Na kama mzizi katika nchi kavu; Yeye hana umbo wala uzuri; Na tumwonapo hana uzuri hata tumtamani.

3 Alidharauliwa na kukataliwa na watu; Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko; Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.

4 Hakika ameyachukua masikitiko yetu, Amejitwika huzuni zetu; Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa, Amepigwa na Mungu, na kuteswa.

5 Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.

6 Sisi sote kama kondoo tumepotea; Kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe; Na Bwana ameweka juu yake Maovu yetu sisi sote.

7 Alionewa, lakini alinyenyekea, Wala hakufunua kinywa chake; Kama mwana-kondoo apelekwaye machinjoni, Na kama vile kondoo anyamazavyo Mbele yao wakatao manyoya yake; Naam, hakufunua kinywa chake.

8 Kwa kuonewa na kuhukumiwa aliondolewa; Na maisha yake ni nani atakayeisimulia? Maana amekatiliwa mbali na nchi ya walio hai; Alipigwa kwa sababu ya makosa ya watu wangu.

9 Wakamfanyia kaburi pamoja na wabaya; Na pamoja na matajiri katika kufa kwake; Ingawa hakutenda jeuri, Wala hapakuwa na hila kinywani mwake.

10 Lakini Bwana aliridhika kumchubua; Amemhuzunisha; Utakapofanya nafsi yake kuwa dhabihu kwa dhambi, Ataona uzao wake, ataishi siku nyingi, Na mapenzi ya Bwana yatafanikiwa mkononi mwake;

11 Ataona mazao ya taabu ya nafsi yake, na kuridhika. Kwa maarifa yake mtumishi wangu mwenye haki Atawafanya wengi kuwa wenye haki; Naye atayachukua maovu yao.

12 Kwa hiyo nitamgawia sehemu pamoja na wakuu, Naye atagawanya nyara pamoja nao walio hodari; Kwa sababu alimwaga nafsi yake hata kufa, Akahesabiwa pamoja na hao wakosao. Walakini alichukua dhambi za watu wengi, Na kuwaombea wakosaji.
 
Ni sahihi kabisa, alipata ajali kama ajali nyingine.

Huyu anayejiita hamis ndiyo fitna mkubwa wa dini ya kiislamu kwa kujidai kuandika historia ambazo haziko sahihi
Mbona hasndiki habari ya kifo cha Yesu kupats ajali ya kupigwa,kukitws mkuki kuvali
Tambua hata Mimi ukinisomea inadunda

Sio kila mtu ni mwepesi Mzee,wengine kama Sisi inakurudia wewe
Wewe utakuwa mzito kuliko Yesu,alisomewa maombi na nani,mpaka akapata ajali ya kuteswa,na kusulubiwa na kuuliwa.Na wakati aliomba kwa Mungu wake kikombe cha mauti,kimuepuke,lakini hakikumurpuka.Kwa hiyo hapo,wayahudi wenzake walimuombea maombi,afe kwa kutumia majini,na akapata ajali ya kusulubiwa.
 
Duh mtihani kweli kweli
 
Yn 10:17-18 SUV
[17] Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena. [18] Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.
Yesu alisomewa Albadili na nani,mpaka akasulubiwa na kufa msalabani.juu ya kuwa aliomba kwa Mungu wake,kikombe hiki cha mauti kimuepuke.
 
Hata hyu Sheikh Rashid,si alitabiriwq,si clips yake ipo hapo ya kusomewa kuwa afe,apate ajali na yeye mwenyewe pia huyo Sheikh,clip yake ipo,anasema hapo kuwa wamemsomea apate qjali.Si ndio utabiri wenyewe wataka utabiri gani tena.Wakqti utabiri wa clip ipo hapo
 
Yn 10:17-18 SUV
[17] Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena. [18] Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.

 
Kwahiyo kumbe unakubali Sheikh kusomewa ALBADIL πŸ˜‚

Msikilize Yesu πŸ‘‡πŸ‘‡

Yn 10:17-18 SUV
[17] Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena. [18] Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.

 
Mkiambiwa vinavyoitwa dini vinigine ni uganga wa kienyeji na ushetani mnabisha
 
Tupunguze uzushi Sisi au nyie wenyewe
 
Wakati ukifika utaondoka tu.Yesu aliombewa maombi na nani,mbona alisulubiwa,na kuuliwa,na aliomba kwa Mungu wake,kikombe cha umauti,kimuepuke lakini hakikumuepuka.
Yn 10:17-18 SUV
[17] Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena. [18] Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.

 

Wangalianza kuisomea CCM kwanza ifilie mbalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…