Sheikh Rusaganya: Kwa mujibu wa Hadithi za Mtume Mohamad, Watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi

Cha ajabu haya tunaambiwa ni maneno ya Allah mwenyewe, maneno haya alimshushia mtume. Unajiuliza hii dini watu wako sawa kweli upstairs?
ipo siku akili zitawakaa sawa na wataacha kuamini mafundisho ya uongo yaliyodumu karne nyingi
 
Hahaha Hata ukitetea vipi mkuu mmepatikana😅🤣😂😂👌🏿👊🏿
 
Kwa hiyo kabla ya kwenda peponi , watu wafupi wanatakiwa wapitie tuition wapi? Mloganzila? Au Uturuki?
 
Kwa hiyo kabla ya kwenda peponi , watu wafupi wanatakiwa wapitie tuition wapi? Mloganzila? Au Uturuki?
Sio ufupi tu kutakuwa na mabadiliko ya kinje ya mwili na kindani ,mfano kindani watu kabla ya kwenda peponi wanapitishwa sehemu ambayo chuki ,vinyongo ,hasadi nk vinaondolewa maana hauwezi kupata raha yeyote ikiwa ndani una mafundo hayo ,Allaah anajua zaidi.

Kuhusu umbile na modifications nyingine kama umri ,sura nzuri nk Allaah mwenyewe anajua namna ipi atanikisha hayo generally watu watakuwa kwenye umbile bora watakalo lifurahia na linaloendana na hadhi ya huko.
 
Hahaha Hata ukitetea vipi mkuu mmepatikana😅🤣😂😂👌🏿👊🏿
Hakuna unachoelewa zaidi ya bange sijui kama unapata muda wa kusoma hata vitabu hivyo hakuna haja ya mtu kupoteza muda na kuanza kubishana na wewe..
 
Hizi dini ujinga mtupu.

Yani vinasaba vya ufupi anatoa Mungu mwenyewe, halafu watu wafupi anawapiga marufuku mbinguni yeye mwenyewe.

Ujinga mtupu.
Wewe ndio mjinga no 1 kwa sababu zifuatazo;

1.kuvamia bila kaclip kafupi na kutoa hitimisho bila kuthibitisha hapo nyuma alianza na mazungumzo gani kabla ya kuzungumza aliyoyazungumza yaani angalau video ya dk 10 au full video kupata picha kamili ya alichozungumza.

2.Hujachunguza usahihi wa hayo maneno kama kuna andiko linasema hivyo Sheikh au katamka kwa matamanio yake .

3.Umeshindwa kufikiri kwa makini katika hiyo hiyo clip fupi na kugundua kuwa hajamaanisha kuwa watu Wafupi ni marufuku yake sio kwamba hawaendi peponi bali yeye kamaanisha kuwa kutakuwa na mabadiliko na umbile maalumu ya peponi bila kutegemea umbile mtu alilokuwa nalo duniani.

#Nipo
 
😁 itakuwa mnyaazi alishajua kuwa wafupi ni wabishi na waongo waongo watupu.
 

Hizo habari za kutakuwa na mabadiliko zote nimezifikiria, ila bado ni za ujinga tu.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kubagua na kunyanyapaa watu wafupi ni contradiction.

Ingekuwa ufupi ni kitu kibaya kisichotakiwa peponi, asingewaumba watu wafupi hata duniani.

Contradiction hiyo inaonesha habari nzima za kuungaunga kwamba kutakuwa na mabadiliko ni za kutungwa na watu tu.

Habari nzima ya Mungu kuwepo ni uongo usioweza kuthibitishwa. Ina contradiction ya "the problem of evil".

Habari nzima ya peponi kuwapo ni uongo na ujinga tu, ndiyo maana mpaka leo hakuna mtu anayeweza kuthibitisha peponi kupo.

Bado ni ujinga mtupu.

Ukibisha, thibitisha Mungu yupo na peponi kupo.

Hizo Hadith na Quran zimejaa ujinga na uongo mwanzo mwisho, nikikuwekea hapa huwezi kuupangua.
 
Huyu shehe apunguze kuropoka. Atanishukuru baadae
 
Huyu shehe apunguze kuropoka. Atanishukuru baadae
Kuropoka nako ni ushahidi Mungu hayupo.

Kwenye ulimwengu ulioumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kuropoka hakuwezekani kuwepo.

Hivyo, kama Shehe anaropoka, basi ni kweli watu wafupi hawataenda peponi.

Kwa sababu Mungu hayupo na peponi hakupo.
 
Mimi sipo kujadili uwepo wa Mungu kwani nimejiweka mbali na mijadala ya aina hiyo.

Kazi yangu katika uzii huu ni kuwafichua wale waliokurupuka mleta wakiongozwa na mleta mada , ambao wamevamia clip bila kuelewa kilichomaanishwa wala kuthibitisha kama andiko hilo alilolisema huyo Sheikh lipo kweli maana humu Kuna watu kazi yao kukopi upotoshaji na kuweka katika mlengo wao .

Mfano kuliwahi kuleta Uzi humu ambao mjinga mmoja kakopi post ya mtu twita ambaye yeye anadai kuwa Muislamu "Ikisema Waislamu wajifunze Kiarabu kwani ndio lugha ya peponi " yeye akaleta kwa lengo la kukashifu Mungu gani hajui lugha nyingine na waislamu wasiojua kiarabu mtoni.

Mimi nikaja katika Uzi huo nikamtaka alete andiko linalosapoti madai yake pamoja na mengine aliyoyaandika na akashindwa .Hiyo situation sawa na Uzi huu Mimi sikutaka kujadili uwepo wa Mungu au pepo bali ni kutaka ushahidi wa madai yake na kutetea mada aliyoleta kielimu na sio atoke nje ya mada.

#Nimemaliza
 
Huwezi kuepuka hoja ya uwepo wa Mungu kwa sababu hapo ndipo ujinga wote huu ulipoanzia.

Na hata wewe ujinga wako wa "kutakuwa na kubadilika" na ujinga wa "peponi" hauwezi kusimama kama Mungu hayupo.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo, kwa sababu hayupo.

Huwezi kuthibitisha peponi kupo, kwa sababu hakupo.

Huwezi kuthibitisha watu watabadilika kabla ya kwenda peponi, kwa sababu hakuna kitu kama hicho.

Unaeneza ujinga tu. Halafu unajificha nyuma ya some flimsy equivocation, kijinga tu.
 
Kwahiyo ufupi ni umbo baya?
 
Ndio maana imeanzishwa michepuo ya dini kwa A-level kuwaondoa hawa mashehe wa namna hii
 
Hiyo aya itakuwa imetoa ufafanuzi wa kutosha kuhusu hicho kilichosemwa hapo ila mleta mada ameweka hiko kipande kwa ufupi kwa malengo yake mahususi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…