Weka Hilo andiko linalosema hivyo navunja simu yangu sasa hivi na najiondoa rasmi Jf..
Tatizo Lile Lile hamfuatilii Wala kudadisi mambo kwa makini , huyo Sheikh yeye katoa andiko kuwa peponi watu watakuwa warefu wa kimo fulani(sijui kama Hilo andiko sahihi) sasa kutokana na andiko Hilo basi peponi kutakuwa na modification yaani watu watakuwa na umbile la urefu kama alivyodai , sasa katika kusherehesha na kunogesha ndio akasema watu "Wafupi marufuku peponi" kwa maana ya kwamba watakuwa warefu na sio kwamba andiko analodai linasema kama alivyosema neno Hilo marufuku lipo bali ni swaga zake tu.
Mfano rahisi ni mtu aseme mtu asiyejua kusoma ni marufuku kuanza la kwanza ,hapo haina maana kwamba mtoto asiyejua kusoma basi akachunge Ng'ombe na kuvutia bange kama
Maghayo The Mongo bali anaweza kupitia kwa mwalimu au wazazi Wak mtrain akajua kusoma hatimaye akajiunga primarily school hiyo ni sawa na mfupi kupata modifications akawa na umbile la urefu unaotakiwa peponi akaenda akapelekwa peponi.