Sheikh Rusaganya: Kwa mujibu wa Hadithi za Mtume Mohamad, Watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi

Sheikh Rusaganya: Kwa mujibu wa Hadithi za Mtume Mohamad, Watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi

Hizo habari za kutakuwa na mabadiliko zote nimezifikiria, ila bado ni za ujinga tu.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kubagua na kunyanyapaa watu wafupi ni contradiction.

Ingekuwa ufupi ni kitu kibaya kisichotakiwa peponi, asingewaumba watu wafupi hata duniani.

Contradiction hiyo inaonesha habari nzima za kuungaunga kwamba kutakuwa na mabadiliko ni za kutungwa na watu tu.

Habari nzima ya Mungu kuwepo ni uongo usioweza kuthibitishwa. Ina contradiction ya "the problem of evil".

Habari nzima ya peponi kuwapo ni uongo na ujinga tu, ndiyo maana mpaka leo hakuna mtu anayeweza kuthibitisha peponi kupo.

Bado ni ujinga mtupu.

Ukibisha, thibitisha Mungu yupo na peponi kupo.

Hizo Hadith na Quran zimejaa ujinga na uongo mwanzo mwisho, nikikuwekea hapa huwezi kuupangua.
OK
 
Da bora mana nilikuwa nafikiria huko peponi nitaenda kuishi vipi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sheikh Rusaganya ameonya kwamba kwa kujibu wa mafundisho ya kiisilamu, watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi.

Sheikh anasisitiza kwamba watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi na hawatakiwi kuonekana kule.

Msikilize Sheikh Rusaganya hapa.
View attachment 2948976
Akiki za huyu shehe ubwabwa ni zaidi ya akili za mbwa!
 
Alichokosa kufafanua hapo ni kuwa, watenda mema watakao ingia Peponi, hawatakuwa na miili ya hapa Duniani bali Watapewa miili mipya na maumbo mapya anayoyajua Muumba wa Mbingu na Ardhi
Alishawahi fika huko peponi? Amejuaje
 
ilo jina tu linaendana na akil zake aache kuupaka uislam najis aonyeshe haya inaosema ivo mbwa uyo
 
Jifunze kufuatilia kitu kwa umakini , huyo Sheikh kaamaanisha kuwa watu peponi watakuwa katika umbile jipya kwa maana mtu hata akiwa mfupi atakuwa umbo la urefu , mbaya kuwa umbile na sura ya kuvutia ,kinyongo kuwa roho safi vinyongo vyote kutolewa nk.. hapo amezungumza kwa njia ya utani tu.
Hekaya za abunuasi
 
Back
Top Bottom