Sheikh S. Mwaipopo: Hoja ya watu wa Mtwara juu ya gesi ni Upuuzi!

Hawa ndio waislamu unaosikia wanapigwa kule Somalia na kwingineko katika ulimwengu wa kiarabu,ukiwa kibaraka subiri madhara ya ukibaraka ukiacha ili kudharauliwa.tafuta nyumba yake choma moto na mwnyewe akikukalia vizuri kata kichwa chake ndio itakuwa fundisho kwa toilate paper wengine kama yeye.Jamani heeee watu kama hawa tuwake vichwa wanturudisha nyuma ni wabaya kuliko akina Kikwete
 
Walichelewa wapi hawa vibaraka(opportunist) kina mwaipopo. Utakumbuka kuwa hiki ni kikundi cha wazururaji wa mjini wanaotafuta ni wapi waajiriwe kutoa matamko ya kumfurahisha mkulu kwa malipo. Ni huyu huyu Mwaipopo aliyemlaani Dr Ulimboka na toka wakati huo anaishi kwa kuwaogopa madaktari kwa unafiki wake. Na halafu Mungu alivyo wa ajabu baada tu ya dhihaka za Mwaipopo kwa madaktari kaanza kuugua ugonjwa wa sukari. Kwa sasa hivi kakonda sana na sijui kama kweli ni sukari alivyodai au ni kitu kingine. Hilo la ugonjwa tumuachie yeye na mungu wake ila ajue tu kuwa sii vema kuwatukana wakunga uzazi ungalipo.
.
 
Huyo Sheikh Mwaipopo hamna kitu kichwani kabisa inaonekana hata hajasoma tamko la shura ya maimamu wa Mtwara. Anatutia aibu kabisa waislamu kwa ukihiyo wake!

Hakunaga mnyakyusa muislamu wa kweli! Wengi feki, kuweni makini na makabila mnapo silimisha watu!
 
BARAZA la Habari la Kiislamu Tanzania (BAHAKITA), limesema hoja ya watu wa Mtwara kutaka gesi iwanufaishe wao kwanza ni upuuzi, kwa kuwa hoja hiyo itajenga ukanda katika Tanzania isiyoamini mgawanyiko wa kikabila. Kauli hiyo ilitolewa Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa BAHAKITA, Shekhe Said Mwaipopo.

Alisema kitendo cha watu wa Mtwara na wengine kutoka nje ya Mtwara, kusema gesi hiyo ni yao ni kitendo cha kukosa busara. “Tukianza kugawana mafungu si kitu kizuri. Leo hii watu wa Mwanza wanasema maji yao yasiende Shinyanga hadi wao wayatumie, Wazaramo nao waseme watu wote ambao si wa Dar es Salaam watoke, si hoja ni upuuzi na kauli za kichochezi,” alisema Mwaipopo.

Aidha, aliwaonywa baadhi ya wanasiasa na viongozi wa dini wanaotoa kauli za kichochezi na kusema watu hao wamefilisika kisiasa.

“Hawa viongozi wa kisiasa hususani wa Chadema wamefilisika kisiasa, ni wanasiasa uchwara na mbaya zaidi wenyewe wamekiri kupitia Katibu wao Mkuu Dk. Wilbroad Slaa kuwa vitendo vinavyofanywa na watu wa Mtwara ni matokeo ya M4C. “Lakini cha kushangaza ndani ya CCM pia wapo viongozi wakubwa akiwamo Mbunge wa Mtwara Mjini, Hasnein Murji ambaye alitoa kauli hadharani za kuchochea vurugu za watu wa Mtwara kwa kuwaunga mkono kuwa gesi ni ya kwao.

“Kuchoma moto nyumba si busara, mali zimeharibiwa, kwa mambo haya tunaliomba Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua wale wote ambao wamehusika katika zile vurugu na uharibifu wa mali, ile gesi ya Watanzania wote,” alisema Mwaipopo. Kwa upande wake, Katibu wa BAHAKITA, Chifu Hussein Msopa, alisema vyama vya siasa viache kutumia gesi ya Mtwara kama chanzo cha uvunjifu wa amani.

“Tunaomba ndugu zetu wa Mtwara wawe na subira katika kipindi hiki ambacho Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amekwenda kuzungumza nao. “Tunalaani vurugu zote ikiwamo uchomaji nyumba na uharibifu wa mali, tunaomba Jeshi la Polisi liwachukulie hatua wote waliohusika.

“Tunawaomba wanasiasa, viongozi wenzetu wa dini na asasi zisizo za kiserikali, kuacha kufanya jambo hili mtaji, iwe viongozi wa Kikristo na wale wa Kiislamu, waache kuchochea jambo hili, tuache kupandikiza chuki kwa kuwa suala hili liki achiwa litaibua hoja ya ukanda,” alisema Shekhe Msopa.

Source. Mtanzania.

Jamani tusiwashe moto tena kusini cha muhimu kwa baraza la habari hili ni kuangalia je Rasilimali hizo zinasaidia watu wote? Ndipo watoe kauli kama hiyo.

bravoo Shekhe Mwaipopo...
Wew ni moja kati ya wengi wanaoitakia tanzania Kheri..
Na Mungu wangu Ktk KRISTO YESU akulinde katika hili
 
baraza la habari la kiislamu tanzania (bahakita), limesema hoja ya watu wa mtwara kutaka gesi iwanufaishe wao kwanza ni upuuzi, kwa kuwa hoja hiyo itajenga ukanda katika tanzania isiyoamini mgawanyiko wa kikabila. Kauli hiyo ilitolewa dar es salaam jana na mwenyekiti wa bahakita, shekhe said mwaipopo.

Alisema kitendo cha watu wa mtwara na wengine kutoka nje ya mtwara, kusema gesi hiyo ni yao ni kitendo cha kukosa busara. “tukianza kugawana mafungu si kitu kizuri. Leo hii watu wa mwanza wanasema maji yao yasiende shinyanga hadi wao wayatumie, wazaramo nao waseme watu wote ambao si wa dar es salaam watoke, si hoja ni upuuzi na kauli za kichochezi,” alisema mwaipopo.

Aidha, aliwaonywa baadhi ya wanasiasa na viongozi wa dini wanaotoa kauli za kichochezi na kusema watu hao wamefilisika kisiasa.

“hawa viongozi wa kisiasa hususani wa chadema wamefilisika kisiasa, ni wanasiasa uchwara na mbaya zaidi wenyewe wamekiri kupitia katibu wao mkuu dk. Wilbroad slaa kuwa vitendo vinavyofanywa na watu wa mtwara ni matokeo ya m4c. “lakini cha kushangaza ndani ya ccm pia wapo viongozi wakubwa akiwamo mbunge wa mtwara mjini, hasnein murji ambaye alitoa kauli hadharani za kuchochea vurugu za watu wa mtwara kwa kuwaunga mkono kuwa gesi ni ya kwao.

“kuchoma moto nyumba si busara, mali zimeharibiwa, kwa mambo haya tunaliomba jeshi la polisi kuwachukulia hatua wale wote ambao wamehusika katika zile vurugu na uharibifu wa mali, ile gesi ya watanzania wote,” alisema mwaipopo. Kwa upande wake, katibu wa bahakita, chifu hussein msopa, alisema vyama vya siasa viache kutumia gesi ya mtwara kama chanzo cha uvunjifu wa amani.

“tunaomba ndugu zetu wa mtwara wawe na subira katika kipindi hiki ambacho waziri mkuu, mizengo pinda, amekwenda kuzungumza nao. “tunalaani vurugu zote ikiwamo uchomaji nyumba na uharibifu wa mali, tunaomba jeshi la polisi liwachukulie hatua wote waliohusika.

“tunawaomba wanasiasa, viongozi wenzetu wa dini na asasi zisizo za kiserikali, kuacha kufanya jambo hili mtaji, iwe viongozi wa kikristo na wale wa kiislamu, waache kuchochea jambo hili, tuache kupandikiza chuki kwa kuwa suala hili liki achiwa litaibua hoja ya ukanda,” alisema shekhe msopa.

source. Mtanzania.

Jamani tusiwashe moto tena kusini cha muhimu kwa baraza la habari hili ni kuangalia je rasilimali hizo zinasaidia watu wote? Ndipo watoe kauli kama hiyo.

mawazo mazuri yenye uzalendo na kupenda amani iliyopo sasa na miaka ijayo.
 
bravoo Shekhe Mwaipopo...
Wew ni moja kati ya wengi wanaoitakia tanzania Kheri..
Na Mungu wangu Ktk KRISTO YESU akulinde katika hili

Sasa unavuka mpaka! mungu wako Yesu Kristo hawezi kumlinda Shehe Mwaipopo sababu Mungu wake ni Allah Muumbaji wa Mbingu na ardhi na vilivyomo!
 
kwani kuna ubaya gani akimuombea kwa mungu wake anaemuabudu?
 
Sasa unavuka mpaka! mungu wako Yesu Kristo hawezi kumlinda Shehe Mwaipopo sababu Mungu wake ni Allah Muumbaji wa Mbingu na ardhi na vilivyomo!
Jamani hizi dini zitatuua...imefikia wakati tuziweke pembeni kidogo ili tuweze kufikiria vizuri mstakabali wa nchi yetu maana mambo yasipokwenda vizuri hata kuabudu kwenyewe kutakuwa na walakini...
 
bravoo Shekhe Mwaipopo...
Wew ni moja kati ya wengi wanaoitakia tanzania Kheri..
Na Mungu wangu Ktk KRISTO YESU akulinde katika hili

Kuna sababu gani ya kuquote hari yote hiyo si ungeandika maneno yako tu!
 
BARAZA la Habari la Kiislamu Tanzania (BAHAKITA), limesema hoja ya watu wa Mtwara kutaka gesi iwanufaishe wao kwanza ni upuuzi, kwa kuwa hoja hiyo itajenga ukanda katika Tanzania isiyoamini mgawanyiko wa kikabila. Kauli hiyo ilitolewa Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa BAHAKITA, Shekhe Said Mwaipopo.

Alisema kitendo cha watu wa Mtwara na wengine kutoka nje ya Mtwara, kusema gesi hiyo ni yao ni kitendo cha kukosa busara. “Tukianza kugawana mafungu si kitu kizuri. Leo hii watu wa Mwanza wanasema maji yao yasiende Shinyanga hadi wao wayatumie, Wazaramo nao waseme watu wote ambao si wa Dar es Salaam watoke, si hoja ni upuuzi na kauli za kichochezi,” alisema Mwaipopo.

Aidha, aliwaonywa baadhi ya wanasiasa na viongozi wa dini wanaotoa kauli za kichochezi na kusema watu hao wamefilisika kisiasa.

“Hawa viongozi wa kisiasa hususani wa Chadema wamefilisika kisiasa, ni wanasiasa uchwara na mbaya zaidi wenyewe wamekiri kupitia Katibu wao Mkuu Dk. Wilbroad Slaa kuwa vitendo vinavyofanywa na watu wa Mtwara ni matokeo ya M4C. “Lakini cha kushangaza ndani ya CCM pia wapo viongozi wakubwa akiwamo Mbunge wa Mtwara Mjini, Hasnein Murji ambaye alitoa kauli hadharani za kuchochea vurugu za watu wa Mtwara kwa kuwaunga mkono kuwa gesi ni ya kwao.

“Kuchoma moto nyumba si busara, mali zimeharibiwa, kwa mambo haya tunaliomba Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua wale wote ambao wamehusika katika zile vurugu na uharibifu wa mali, ile gesi ya Watanzania wote,” alisema Mwaipopo. Kwa upande wake, Katibu wa BAHAKITA, Chifu Hussein Msopa, alisema vyama vya siasa viache kutumia gesi ya Mtwara kama chanzo cha uvunjifu wa amani.

“Tunaomba ndugu zetu wa Mtwara wawe na subira katika kipindi hiki ambacho Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amekwenda kuzungumza nao. “Tunalaani vurugu zote ikiwamo uchomaji nyumba na uharibifu wa mali, tunaomba Jeshi la Polisi liwachukulie hatua wote waliohusika.

“Tunawaomba wanasiasa, viongozi wenzetu wa dini na asasi zisizo za kiserikali, kuacha kufanya jambo hili mtaji, iwe viongozi wa Kikristo na wale wa Kiislamu, waache kuchochea jambo hili, tuache kupandikiza chuki kwa kuwa suala hili liki achiwa litaibua hoja ya ukanda,” alisema Shekhe Msopa.

Source. Mtanzania.

Jamani tusiwashe moto tena kusini cha muhimu kwa baraza la habari hili ni kuangalia je Rasilimali hizo zinasaidia watu wote? Ndipo watoe kauli kama hiyo.

Acha usheikh ubwabwa weye. Njaa itakuua. Wakati Wanamtwara walipokuwa wanatengwa kimaendeleo na hivyo kielimu hukuona kwamba huo ni ubaguzi?
 
Back
Top Bottom