Sheikh S. Mwaipopo: Hoja ya watu wa Mtwara juu ya gesi ni Upuuzi!

....Tamko tamu sana hili ila tunamuomba akalitolee Mtwara
 
hao si mashehe kama hii habari ni yakweli. watakuwa mashehena. ni wapumbavu waliojivika mikanzu. mungu atuepushie mbali na watu kama hawa.
 


haki ya mungu njaa mbaya sana kwa kweli..!

Hapo ukimsachi mfukoni utamkuta na ndizi tayari kujiandaa na mikao ya ubwabwa ubwabwa tuh,hovyo kabisa pro- bakwataccm hawa..!
Bure kabisa,ndugu yake nani??
Aende zake mbele huko..,wanafiki na njaa kali wa hali ya juu..
 
....tamko tamu sana hili ila tunamuomba akalitolee mtwara

tutamtandika bakora za mgongo hadi akome uroho wake wa kupenda penda miubwabwa ya bure..!
Hana adabu kabisa,ye nani??
 
Huyu sheikh ni wa kupuuzwa!wapi wana jf apewe madai ya shura ya maimamu tuone kama hajakimbia kama pinda
 
Mashehe na maaskofu wafanye kazi wanayopaswa kufanya .. leo askofu katoa polarizing tamko, kesho shehe
 
Huyu sheikh kajichanganya kwani anaonyesha hajuwi alisemalo. Hoja ya wana Mtwara ni ya kiungwana zaidi. Wao wanataka kiwanda cha ku process hiyo gesi na miundo mbinu yote ya hiyo gesi iwe MT ili wana MT wapate ajira. Utajiri wa gesi ni kwa ajili ya taifa ila kazi zipatikane MT na si vinginevyo. Sasa hapa wana Mtwara wana kosa gani? Tujiulize kidogo, yale matanki ya mafuta hapa Kurasini yasafirishwe kwenda Mtwara kuwa processed wakati miundo mbinu yote iko hapa Dar, ni sawa? There's NO point gesi iwe MT halafu miundo mbinu yote iwe Dar, je inakuja kichwani kweli hii? Serikali inacheza makida makida na wananchi wake siku zote kwa kuchukua maamuzi yanayo wanufaisha wao na familia zao. Huyu sheikh naona alipewa mpunga tu ili aropoke, naona hakufikiria kabla ya kuongea! Hapa bila kuficha ni lazima tu kuna kamchezo kalichezwa na baadhi ya viongozi husika.
 
Akili au matope?mafuta ya mtwara ni kwa wanamtwara lakini mafuta ya zanzibar ni ya muungano,patachimbika.
 
Huyo Mwai BAT kavimbiwa tu huyo, hana lolote
 

Nimesoma makala ya Sheikh Mwaipopo na Msopa, hawa jamaa wanachokifanya wanataka popularity au niseme "Umaarufu" wa kidini, na wanajipendekeza kwa serikali. Kwanza ni wanafiki sana. Wanachosema ndicho ambacho wamekuwa wakikipigia debe misikitini. Vurugu za Mbagala ambapo makanisa yalichomwa moto HAWAKUTOA KAULI YOYOTE. Nini nyumba ya mwana CCM mwenzao ukilinganisha na Makanisa tena kwa kosa ambalo limefanywa na age ambayo ni "minor". Ningemuunga mkono sana kama huyu angekuwa aliwahi kutoa kauli ya kuwatuliza WAANDAMANAJI WAKE KULE MBAGALA. Acha kujipendekeza Sheikh Mwaipopo mtaji wako mkubwa ni kukashifu Dini ya Kikristo sijui huwa unalipwa Dinari ngapi????
 
We love Mtwara and Mtwara loves us. Mwaipopo bure kabisa.
 

Mpuuzi yule
 
pro CCM wasipoitaja CHADEMA kwenye matamko yao,wanaona hakuna atakayewasikilza.Hayo mnayoyasema katika mikutano na wanahabari mkayaseme Mtwara.Uwanja wa tukio na waathirika wa haya wako Mtwara.Nendeni Mtwara mkajadiliane nao.Nampongeza Mh MKP Pinda kwenda kujadiliana nao hata kama kachakachua makubaliano.Wana Mtwara wanahoji gesi itawasaidiaje kiuchumi.
Taasisi za Kiislam muwe na tahadhari na matamko yenu.Yaleyale DC wa Igunga na Hijjab wakati wa uchaguzi mdogo
 
Matamko yenye kukinzana yameanza kutoka misikitini kama kawaida, sasa tusubiri kusikia nani MUHUNI kati ya BAHAKITA na Shura ya Maamuma wa Mtwara
 

Hasira ni nini?
Hasira ni roho chafu ambayo mtu hupagawa nayo angali akiwa na akili zake timamu. Mtu mwenye hasira, hupungukiwa na ufahamu na kukosa wasaa wa kufikiri kabla ya kufanya tendo. Ndio maana, mtu anaweza kukasirika na kufanya jambo kubwa na baya hata lile la kumdhuru mwenyewe kama hapo kwenye RED

Mgongano wa maslahi huo, angekuwa Pro-Mtwarans angeitwa kiongozi wa dini ya haki na hakika tungeambiwa huyu ndio anafaa kutuongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…