Sheikh Shafii amtetea Gwajima, asema kama watu wanapotea na kutekwa ni haki kusema tunapoelekea si salama

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Sheikh Shafii alipokuwa akifanya mahojiano na Battle TV

ameeleza kuwa alichokisema Askofu Gwajima ni sahihi labda kama amekosea eneo la kusema na kutoa baadhi ya mifano lakini kama watu wanatekwa kweli na kupotea ni haki kusema kuwa tunapolekea si salama.

"Ukizungumzia kuhusu Gwajima watu kutekwa hakuna asiyejua kwamba watu wanatekwa. Kuhusu watu kupotea hakuna asiyejua, hivyo ndiyo viu ambavyo yeye kavizungumza.

Yupo sawa Mimi naangalia kwamba yupo sawa kama kweli watu wanatekwa wanapotea wanafanyaje ni haki kusema jamani tunapoelekea siyo mahali salama kwanini hivi vitu vinatoke a tunafanyaje ili kuviondosha?" - Sheikh Shafii

View attachment 3355629

Huyu Sheikh atafukuzwa na BAKWATA
 
Shauri yake Sheikh Alhad alishatoa onyo🐼
 
Lile genge litakwenda kuwapangia masheikh wengine cha kuhubiri Ijumaa
 
Hapana mkuu, sijawahi labda Tlaatlaah atuoneshe
jukumu muhimu sana la viongozi wa dini ni kuhubiri mambo ya Mungu, kufundisha maadili mema kwa jamii na sio kufundisha jamii uzinzi kwa kujireko video au kutetea uropokaji wa kizushi, uchochezi na upotoshaji wa vibaka na matapeli wa kidini 🐒
 
Back
Top Bottom