Sheikh Sharif Jeylan: Niliwafungisha Ndoa Jini Na Binadamu na hadi sasa wanaishi pamoja..

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
29,909
Reaction score
32,414
Your browser is not able to display this video.


Manara TV imepata fursa ya kuzungumza na Sultan Sheikh Sharifu ( @shekhsharifjeylan ) na amezungumza mengi sana.

Moja ya vitu alivyoweka wazi ni kwamba alishawahi kuwafungisha ndoa Jini na Binadamu na hadi leo wanaishi pamoja.

Kuitazama Full Interview Ingia Youtube Kwenye Channel Ya Manara Tv
Source manata tv
 
Hawa mashekhe nao wamekua na muamko mkubwa sana kwenye mitando kila shekhe anaibua lake kutafuta umaarifu
 
Majini na Uislam ni kitu kimoja
 
Dalili za wazi za mtu mshirikana, hakuna mafungamano baina ya viumbe ivyo viwili....ni wa kupuuzwa na alichokisema kisifungamaniswe na uislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…