Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
View attachment 3093114
Manara TV imepata fursa ya kuzungumza na Sultan Sheikh Sharifu ( @shekhsharifjeylan ) na amezungumza mengi sana.
Moja ya vitu alivyoweka wazi ni kwamba alishawahi kuwafungisha ndoa Jini na Binadamu na hadi leo wanaishi pamoja.
Kuitazama Full Interview Ingia Youtube Kwenye Channel Ya Manara Tv
Source manata tv
Wanazaa na huyo jini? Ili iweje? Akili za kuambiwa changanya na za kwaako