Sheikh Sharif Jeylan: Niliwafungisha Ndoa Jini Na Binadamu na hadi sasa wanaishi pamoja..

Sheikh Sharif Jeylan: Niliwafungisha Ndoa Jini Na Binadamu na hadi sasa wanaishi pamoja..

Dunia hii nyie acheni acheni acheni ila kwa kifupi majini yanakua na joto kali sana huko. Full stop
 
View attachment 3093114

Manara TV imepata fursa ya kuzungumza na Sultan Sheikh Sharifu ( @shekhsharifjeylan ) na amezungumza mengi sana.

Moja ya vitu alivyoweka wazi ni kwamba alishawahi kuwafungisha ndoa Jini na Binadamu na hadi leo wanaishi pamoja.

Kuitazama Full Interview Ingia Youtube Kwenye Channel Ya Manara Tv
Source manata tv
Alafu bado watu mtaendelea kusema hii dini ya mnyeezi mungu🤣🤣🤣
 
Hakuna ndoa kama hiyo katika ndoa za kiislam zaidi ni ushirikina
 
MAKAFIR MKISIKIA UISLAM HALISI MNAGHAFIRIKA.
moden Muslims ni tatazo katika uislam ndiyo maana bokoharam na makundi mengine ya uislam hayacheki na nyie.
Nafuu umenifungua Sheikh, kumbe kuna Modern na Old Muslims?

Ndio mana bas sikuhizi kuna mabishano sana
 
Dalili za wazi za mtu mshirikana, hakuna mafungamano baina ya viumbe ivyo viwili....ni wa kupuuzwa na alichokisema kisifungamaniswe na uislamu.
Kwamba hakuna Majini wazuri wawezao kuolewa na Bin Adam ilihali nao ni Viumbe vya Allah?
 
MAKAFIR MKISIKIA UISLAM HALISI MNAGHAFIRIKA.
moden Muslims ni tatazo katika uislam ndiyo maana bokoharam na makundi mengine ya uislam hayacheki na nyie.
Hayo makundi yana kazi ya kuua maskini wasio na hatia huku wanaouharibu ulimwengu huu wakiwalipa kufanya hivyo.Matajiri wanaosababisha dini zisiwe na maadili huwa hawaguswi na hao boko haram wako.Ila ukweli utawakuta ndio wako marekani wakila bata huku wakigharimia vita visivyo vya haki.
Mfano tu hawa akina diamond wenu wameharibu sana kizazi kwa kuwafanya waone ngono za kishetani kama utamaduni wa kawaida.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom