Sasa unaniuliza mimi kwani mimi ni kiongozi wako wa dini🤣Tuwaombee Dua Iran amshinde USA au USA amshinde kafir Iran?
Okay, good luckyhapan mi ni ke
Ulamaa ndio anazungumzia hayo mambo ni sawa tu.nalamba ila sio kiviiiile😎😊
Je Qur’an haijakataza liwati?1 WAKORINTO 6:9-11
"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu."
Tatizo la waislamu ni kuabudu msichokijua. Shame on them
Sheikh kaeleza kitaalamu na kwa ushahidi..Hakuna ushahidi kuhusiana na uhalali wa jambo hilo bali Kuna makatazo katika Uislamu
Nyooo!Sawa siwezi kubisha umesema wewe lakini sijawahi kuonja chochote
Umefanya wapi research au wewe ni mmoja wapo waliofanyiwa hivyo ? maana hilo ni jambo la ndani na siri , sasa unetumia methodology gani za research mpaka kufikia hitimisho la kusema wengi ?Wengi wao wanafir** ili kulinda bikira zao
sio sawaUlamaa ndio anazungumzia hayo mambo ni sawa tu.
😂😂😂 nisamehe mimi Nimekosa sana nimekosa mnoNyooo!
Hakuna bikra humu!😂😂😂 nisamehe mimi Nimekosa sana nimekosa mno
Kosa langu ni lipi? Unawezaje kukataa kuwa huyo sio sheikh wakati amezungukwa na waumini wa kiisilamu akiwahubiria?Huna akili na hizi ndio akili za WaTz wengi , ndio maana CCM inaendelea kutawala milele .
Kabla ya kuPost inatakiwa ujiridhishe ni Sheikh kweli na je , anachosema ni kweli ?
Nipo mimi the special oneHakuna bikra humu!
Hakuna kitu!Nipo mimi the special one
most of the time huwa nasoma BIBLIA TAKATIFU tu. YESU ASIFIWE.Je Qur’an haijakataza liwati?