Sheikh: Una uhuru wa kumuingilia mkeo kwa staili yoyote

Sheikh: Una uhuru wa kumuingilia mkeo kwa staili yoyote

Status
Not open for further replies.
Ila uislam n din ambayo inatuweka kwenye mkanganyiko SANA

Hv katika Quran hakuna hadithi za nabii Ruth wale waliochimwa moto na mkewe kugeuka jiwe la chumv?

Sheikh bila uoga unazungumzia mambo ya kufirana hadharan?

Dah mtihani mkubwa SANA huu
Hawa ndo washauri wa viongozi wetu
 
Q2:223 Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Lakini jitangulizieni kheri nafsi zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kuwa hakika nyinyi mtakutana naye. Na wape bishara njema Waumini.(Muhsin al Barwan)
 
Muongozo haina ukweli , huyo ni Sheikh wa Kishia kwa Mashia wengi wanaona ni ruksa kumuingikia mkeo kinyume na maumbile ila jambo hilo ni haramu na hakuna dalili ya uhalali wake
Mashia sio waisilamu?
Jamhuri ya Kiisilamu ya Irani si imejaa Mashia?
 
Mwanafunzi wa judo au? Unajua bana!
😂😂😂 bado bikira mimi haya masuala yananishangaza sana mwaume unaejitambua huna matatizo ya afya ya akili huwezi kuwaza kufikiria mambo ya shekhe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom