Sheikh: Una uhuru wa kumuingilia mkeo kwa staili yoyote

Sheikh: Una uhuru wa kumuingilia mkeo kwa staili yoyote

Status
Not open for further replies.
Q2:223 Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Lakini jitangulizieni kheri nafsi zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kuwa hakika nyinyi mtakutana naye. Na wape bishara njema Waumini.(Muhsin al Barwan)
Konde ni shamba , shambani unapanda kwenye jiwe ambapo hapaoti kitu au kwenye ardhi sehemu ambayo mmea unaweza kuota ?
 
1 WAKORINTO 6:9-11
"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu."

Tatizo la waislamu ni kuabudu msichokijua. Shame on them
 
HAO WANAONGOZA KWA KUINGILIANA KINYUME.
UKIENDA ZANZIBARI WANAWAKE 90% WAMEFLWA.

WANAUME 70% NI MASHOGA
Mambo ya chumbani mpaka mtu anavyofanya na Wanawake umejuaje na umetoa wapi takwimu au wewe na ndugu zako ndio MLIFILWA ?
 
Nyinyi ndio hata mtu akisema mkeo anatembea na bodaboda Moja kwa Moja unaenda kumuadhibu mkeo bila kuchunguza ukweli au source ya hiyo information
Kwa nini sasa achunguze kama ni kweli au si kweli wakati tayari ameshapata namna mpya ya kukashifu?

Hapo hata abaini kwamba sio kweli bado atatumia hili jambo kama silaha yake
 
Nipo nafanya bidii kali kutafuta mchepuko wa Kiislamu toka nisikie tangazo hili! Makonda alie tu.
 
Nikieleza ninaweza kuongeza au kupunguza chumvi. Kuna video clip hapo, msikilize sheikh moja kwa moja kutoka kwake
Huna akili na hizi ndio akili za WaTz wengi , ndio maana CCM inaendelea kutawala milele .

Kabla ya kuPost inatakiwa ujiridhishe ni Sheikh kweli na je , anachosema ni kweli ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom