Sheikh: Una uhuru wa kumuingilia mkeo kwa staili yoyote

Status
Not open for further replies.


Hivi huyu shehe anajua raisi wetu ni mke wa mtu na mwislamu?

Sasa nasema, huyu shehe atekwe na kuuwawa mara moja!
 
Je Qur’an haijakataza liwati?
 
Hakuna ushahidi kuhusiana na uhalali wa jambo hilo bali Kuna makatazo katika Uislamu
Sheikh kaeleza kitaalamu na kwa ushahidi..
wewe unataka ushahidi gani tena ndugu maamuma?!
 
Wengi wao wanafir** ili kulinda bikira zao
Umefanya wapi research au wewe ni mmoja wapo waliofanyiwa hivyo ? maana hilo ni jambo la ndani na siri , sasa unetumia methodology gani za research mpaka kufikia hitimisho la kusema wengi ?
 
Huna akili na hizi ndio akili za WaTz wengi , ndio maana CCM inaendelea kutawala milele .
Kabla ya kuPost inatakiwa ujiridhishe ni Sheikh kweli na je , anachosema ni kweli ?
Kosa langu ni lipi? Unawezaje kukataa kuwa huyo sio sheikh wakati amezungukwa na waumini wa kiisilamu akiwahubiria?
 
Mambo mengine hata kuyaongea hadharani ni aibu na kujionesha upungufu mkubwa wa akili njema.Inawezekana kuna mengi hatujayasikia na kuyajua.
 
Makubazi wamechachamaa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…