Sheikh wa Mkoa Mwanza (Kuhusu Mjadala wa Bandari): Walaaniwe wote wenye nia ovu na Rais Samia

Huko shuleni hamkufundishwa kichwa cha habari hakitakiwi kuzidi maneno matano tu?
 
Mimi mwenyewe nashangaa hawa mashekhe akili ndogo kwa hiyo kisa Rais muislamu basi akifanya mambo ya hovyo kuhusu nchi basi asipingwe na wakristu kwa kigezo cha dini kwan kinachopingwa ni mkataba mbovu au dini??
 
Nchi hii tuna mbumbumbu wengi sana tena Wana umahir mkubwa wa kugeuza mambo ndiyo Hawa ambao unaweza kuwa unahutubia jambo la msingi lakini yeye akazingatia jogoo aliyekimbiza jike wakati wa hotuba Yako.
 
Sheikh kaona fursa😅
'Nobody speaks the truth when there's something they must have.

Elizabeth Bowen'
 
Laana isiyo na sababu haiwezi kumpata mtu. Huyo sheikh ni mdini na hajui kujenga na kupangua hoja ni zuzu tu kama mazuzu wengine
 
Shekh kama huyu ndo anafanya waislama waonekane amnazo
 
Huyu shehe hata ukisimama nae mta argue nae nn.kwanza hana facts zaidi ana mihemuko tu.Mbona SAMIA amesifiwa na watanzania woooooote nchi nzima kwa kurejesha Democracy nchini na wakristu wakiwa mstari wa mbele kabisa,mbona mashehe hawakusema wanaenda kufunga siku tatu kuwalaani wanao mpongeza Rais Samia kwa kurejesha Democrasianchini,kwa hiyo shehe hataki Rais ashauliwe.Rais ashaliwe vzr na wachungaji,mashehe,mapadri na maaskofu wetu,tusiingize DINI maana ajenda yetu ni BANDARI PEKEE na si DINI.Serikali yetu haina dini na kila mtu anajua hilo,hivyo basi tusiibatize Serikali yetu na kuipa DINI Maana tutaichanganya itashindwa kutuhudumua.Tumsaidie SAMIA SULUHU HASSAN Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kuivusha nchi salama ktk misukosuko hii.MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.
 
Sema bongo za waislam very special mpaka unaona huruma 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Taarifa imeletwa na Mohamed Said.
 
Hichi kichaka cha dini mnachotaka kujificha hakitawaacha salama. kwa hiyo ukifanya ndivyo sivyo ukosolewe na wa dini yako tu au ?
 
Naunga Mkono hoja hii!
 
TEC wamejadili na kutoa ufafanunuzi wa kipengele kwa kipengele, nyie mnajadili udini na personalities, aiseee mna safari ndefu sana
 
Tamko la mtu mmoja..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…