Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Walid Omar Kawambwa atenguliwa kwa kukiuka 'misingi' ya Uongozi

Yawezekana ameondelewa kwa sababu hazungumzi siasa wala kumtetea malkia au kuna tatizo lingine kubwa ambalo limewafanya Alhad Mussa na Walid Kawambwa kutengeuliwa kwa makosa yanayoshabiana. Ndio maana tulionywa kutokukosea kuoa.
 
Kwani Alhadi Mussa alishatoka?
 
Kupambana jambo moja kuvishinda ni jambo jingine, unampongeza yule aliyeshinda.
 
Siku ya kwanza kumuona tu nikahisi tu huyu anawapandisha sana kitandani sura inaonyesha...ila kina Daudi na kina Suleiman nao walikuwa wanawakatikia haswa enzi hizo msimshadadie sana haijaanza leo.
 
Kwa nini uikataae namba moja kwani haiwezekani yeye kuteleza na kufanya dhambi??
Yote yanawezekana Allah ndio mwenye kujuwa ukweli
Huko ndio usesme. Mpaka inzi wanabakwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…