Sheikh wa mkoa wa DSM asikitishwa na kitendo cha RC Makonda na wasaidizi wake kutohudhuria kongamano la Uchaguzi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Shehe wa mkoa wa Dsm Alhad Salum amelalamikia kitendo cha RC Makonda na wasaidizi wake kushindwa kuhudhuria kongamano la Uchaguzi, amani na uchumi wa viwanda licha ya kupewa mwaliko

Alhad Mussa Salum amewataka viongozi wa mkoa wa Dsm kutoa ushirikiano kwa kamati ya amani kwani majukumu yao yanategemeana na siyo jambo jema kwa kongamano kubwa hili kukosa kiongozi wa ngazi ya mkoa hata mmoja, hili limetusikitisha....amesisitiza shehe Mussa

Katika kongamano hilo mgeni wa heshima ni Naibu waziri Mwita Waitara ambaye amemwakilisha makamu wa Rais mama Samia.

Waitara amesema naye ameshangaa ila atawasiliana na viongozi wa mkoa wa Dsm kujua kwa nini hawakuhudhuria kongamano hili muhimu.

Up dates;

Wakati kongamano likiendelea viongozi wa mkoa wa Dsm wameanza kuwasili wakitanguliwa na afande Mambosasa, kisha Das wa Ubungo na hatimaye mkuu wa mkoa wa Dsm mh Paul Makonda.

Kongamano hili liko mubashara TBC 2 muda huu
 
Katika Sehem waislam wamekosea ni Kuhisi Bakwata niya Waislam kumbe ni ya Ccm...
Ni wepesi kulalamika bucha la nguruwe limewekwa mjini ila kuacha viongozi wasio eleweka wakibeba jina Ni viongozi wa waislam hawana shida nalo... Samahan nlo wagusa
 
Hata kama angeudhuria ndo ingeleta maana zaidi
Yote sawa,kwenda na kutokwenda
 
Katika Sehem waislam wamekosea ni Kuhisi Bakwata niya Waislam kumbe ni ya Ccm...
Ni wepesi kulalamika bucha la nguruwe limewekwa mjini ila kuacha viongozi wasio eleweka wakibeba jina Ni viongozi wa waislam hawana shida nalo... Samahan nlo wagusa
Hakuna muislam mwenye akili anaikubali bakwata . Ukweli nikuwa serikali inalazimisha hilo litaasisi la sisiem likubalike Kwa waislam. Fanya utafiti wanaoikubali bakwata ni wazee na wamama Ila sio waislam Tena hao washenzi mxiewww.. Nahic nitoe tusi Kwa huyo alhadi mbulula Ila....
 
Shehe wa mkoa wa Dsm Alhad Salum amelalamikia kitendo cha RC Makonda na wasaidizi wake kushindwa kuhudhuria kongamano la Uchaguzi, amani na uchumi wa viwanda licha ya kupewa mwaliko

Alhad Mussa Salum amewataka viongozi wa mkoa wa Dsm kutoa ushirikiano kwa kamati ya amani kwani majukumu yao yanategemeana na siyo jambo jema kwa kongamano kubwa hili kukosa kiongozi wa ngazi ya mkoa hata mmoja, hili limetusikitisha....amesisitiza shehe Mussa

Katika kongamano hilo mgeni wa heshima ni Naibu waziri Mwita Waitara ambaye amemwakilisha makamu wa Rais mama Samia.

Waitara amesema naye ameshangaa ila atawasiliana na viongozi wa mkoa wa Dsm kujua kwa nini hawakuhudhuria kongamano hili muhimu.

Kongamano hili liko mubashara TBC 2 muda huu
TBC 2, hiyo channel hovyo kabisa, wanaweka miziki tu, tena li comptyuta linacheza lenyewe 24/7 alafu ndio wanajifanya la kulipia.

back to makonda, bado anajishebedua, mda wake ndio unaisha , labda amuongezee mzee baba makoti mengine ya drafti drafti
 
Kwani Sheikh hajui kuwa bashite na Yule chapii hawapikiki chungu kimoja?
 
Yaani Bashite alitaka Chapii aanze yeye kuingia ukumbini ili Bashite awe wa mwisho kumvimbia kuwa haogopi MTU zaidi ya dady. Bashite ana mambo ya kitoto kama mke mwenza anayetaka kutambuliwa
 
Nakula matunda ya Uhuru bwashee

Maendeleo hayana vyama!
Wenzakoo tko hku
Nyie blh Blh ila syo mbaya ndy mnaishi

Ova
IMG-20191026-WA0018.jpg
 
Katika Sehem waislam wamekosea ni Kuhisi Bakwata niya Waislam kumbe ni ya Ccm...
Ni wepesi kulalamika bucha la nguruwe limewekwa mjini ila kuacha viongozi wasio eleweka wakibeba jina Ni viongozi wa waislam hawana shida nalo... Samahan nlo wagusa

Tutake radhi Ndugu yangu

Kwani UWT ikiboronga maana yake wameboronga Wanawake wote Nchini?
 
Back
Top Bottom