johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Shehe wa mkoa wa Dsm Alhad Salum amelalamikia kitendo cha RC Makonda na wasaidizi wake kushindwa kuhudhuria kongamano la Uchaguzi, amani na uchumi wa viwanda licha ya kupewa mwaliko
Alhad Mussa Salum amewataka viongozi wa mkoa wa Dsm kutoa ushirikiano kwa kamati ya amani kwani majukumu yao yanategemeana na siyo jambo jema kwa kongamano kubwa hili kukosa kiongozi wa ngazi ya mkoa hata mmoja, hili limetusikitisha....amesisitiza shehe Mussa
Katika kongamano hilo mgeni wa heshima ni Naibu waziri Mwita Waitara ambaye amemwakilisha makamu wa Rais mama Samia.
Waitara amesema naye ameshangaa ila atawasiliana na viongozi wa mkoa wa Dsm kujua kwa nini hawakuhudhuria kongamano hili muhimu.
Up dates;
Wakati kongamano likiendelea viongozi wa mkoa wa Dsm wameanza kuwasili wakitanguliwa na afande Mambosasa, kisha Das wa Ubungo na hatimaye mkuu wa mkoa wa Dsm mh Paul Makonda.
Kongamano hili liko mubashara TBC 2 muda huu