Spectophotometer
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 295
- 468
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namfahamu vizuri huyu mzee, nishekh watanga mjini sahare msikit wa ibnu abas, nikada wa ccm na alikua diwani wasahare majengo mapya kwazaid ya miaka 10 kupitia ccm.Sheikh hayupo sahihi. Alcohol ni "pure" siyo najisi na haitengui udhu wala swala labda uwe umeinywa kwa kuelewa kuwa unainywa ili ulewe. Hakuna anaekunywa sanitizer, unajipa au kujipulizia tu na si kwa sababu ya kulewa.
Huyu ndiyo wale wanaoharamisha ambavyo havijaharamishwa na Allah.
Pombe sio najisi.View attachment 1439997
Sheikh Mohamed Kombora amewaasa waumini wa Kiislam wa wilaya ya Tanga kuacha matumizi ya vitakasa mikono (Sanitizer) kabla ya swala maana vina kilevi kwa zaidi ya 60% na kwamba wakitumia watanajisi swala zao.
Chanzo : EATV
Nakala : FaizaFoxy
Pombe sio najisi.
Kwa hiyo ukisali nayo hibatilishi sala kabisa kwa sababu haukusali na najisi.
Hapo shekhe kachemka.
Najisi ndo ukisali nayo inabatilisha sala.
Sio kila haramu ni najisi.
Pombe ni haramu lakini sio najisi.
Kama ambavyo nguruwe ni haramu lakini sio najisi.
we na Remote ni ndugu?Anaelimu gani huyo sheikh?
Hahahaha!!Hio mask aliyoivaa hapo ni barakoa au banakoo?
we na Remote ni ndugu?
Hajui pia kuwa perfume zina alcohol nyingi tu na wanazitumia.Je wanazitumia kama kinga au starehe? Vitu vingine vinahitaji simple logic tu mbona?
Jr[emoji769]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio madhara ya kuandika huku unapiga nyungu sasa ndo umeandika nini?
Hayiipo
Diyonajisina
Salary
Anaekunwa
Unajipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaaa.Tupe mbinu za jinsi ulivyoweza kusoma, kubobea na kuhitimu ujinga huko shuleni.
Ndio mimi nimebadilisha usernamewe na Remote ni ndugu?
Ndio mimi nimebadilisha username
Huyu bibi leo hakula daku, kweli kabisaInaelekea kifimbo cheza hakula daku alfajiri.
Hiyo imeshonwa kwa kitambaa cha chupi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hio mask aliyoivaa hapo ni barakoa au banakoo?
Mkuu, hoja gani ningejibu wakati alikuwa kaandika maandishi yasiyoeleweka?Ungejibu kwa hoja ungeonekana wa maana sana. Matusi hayana mashiko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheikh Ubwabwa.