Sheikh: Waislamu tuko nyuma sana, hakuna Askofu anapanda bodaboda, ukitembea kwa mguu wanasema Sunah

Huyu shekh ni Kafir kabisa 🤣🤣
 
Kwahiyo majini yenu hayawasaidii? si muachane nayo mmpokee yesu kuwa bwana na mwokozi wa mausha yenu Oneni aliyekuwa shehe mwenzenu omar mnyeshani anakula tu bata ukristoni nyie mmeng'ang'ana tu subhanallah huku mnapigika
 
 
Hii ni kweli kabisa, michango imekua mingi ila cha kushukuru sio lazima. Ila sadaka na zaka zinatolewa kama kawaida. Na huwezi amini hatujawahi kumchangia Padri gari wala nyumba.

Sio mashindano mkuu, ila em fikiria Padri wa kijiji au kata anatembelea gari ila Sheikh wa Msikiti wa Wilaya anaukanyaga. Unaona ipo sawa?
 
Yeye mwenyewe anatakiwa arudi darasani akasome, kama anahisi kwenye uislamu hakulipi si akasomee uaskofu na yeye apande kilimo kwanza mbona rahisi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…