Sheikh: Waislamu tuko nyuma sana, hakuna Askofu anapanda bodaboda, ukitembea kwa mguu wanasema Sunah

Sisi waarabu tunaenda msikitini jumaa mubarak tu, sio swala Tano na sisi waarabu tuna amini katika utajiri . Ndugu zangu badilikeni ufuate utajiri wa pesa na Mali nyingi bila kujali chanzo Cha utajiri wako.

Allahummah akhadiyr wa'ahannaum zakha'iin. Amiin.
Tabia mbovu, mmedanganya watu wapigize uso chini mara tano kwa Siku kumbe nyie mnapiga hela tu, mi hua nashangaa kwa nini nyuso za waarabu hazina alama usoni sijui mnaita sigda!! Wakati wabantu hasa wazenji wanatwanga uso hadi unavimba, wengi utafikiri wanavijipu kwenye paji la uso, lakini walioleta dini hata upele hawana!!!
 
😃😃😃😃😃😃😃😃😃
AKilo ni nywele mkuu, ngoja nikupe Siri sisi waarabu hasa wenye vinasaba wa Saudi Arabia huwa tunatumia utaratibu mzuri wa kuswali , as salaam alaikhum mkuu.
 
Mi hata baiskeli sina, napanda bodaboda sasa tunafanya kazi ya Mungu, Hakuna Askofi anayepanda bodaboda wala hakuna Padri anayepanda bodaboda, Waislam tuko nyuma sana, halafu bahati nzuri waumini wwetu hawatupendi yaani ukionekana unatemea kwa miguu wanakwambia sunah, Sunah ya nani?
Tokeni gizani, njooni kwenye nuru, Yesu ni nuru huyo wa kwenu ni giza totoro...
 
Acheni kufuata yanayoonekana! Fuateni yasiyoonekana!
 
Tokeni gizani, njooni kwenye nuru, Yesu ni nuru huyo wa kwenu ni giza totoro...

Kama hujaamka, endelea kulala

View: https://www.facebook.com/100076428015248/posts/385970537293877/?_rdr

Tatizo Hawa watu huwa hawajui mfumo wa kanisa

Atajilinganishaje na askofu? Au anafikiri askofu ni Hawa wansojitangaza wenyewe watendaji miujiza ya magumashi?

Kwenye kanisa Kuna viongozi na vyeo vingi angejilinganisha na MAKATEKISTA
 
Mi hata baiskeli sina, napanda bodaboda sasa tunafanya kazi ya Mungu, Hakuna Askofi anayepanda bodaboda wala hakuna Padri anayepanda bodaboda, Waislam tuko nyuma sana, halafu bahati nzuri waumini wwetu hawatupendi yaani ukionekana unatemea kwa miguu wanakwambia sunah, Sunah ya nani?

Kupanga ni kuchagua , Ni rahisi kitoa ng"ombe 5000 na Ngamia za kuchinja na kuwapa watu kila moja moja kila mwaka lakini ni vigumu kutoa Suzuki kwa Mashehe,

Wakristo wanakamuliwa kwenye michango na wengine wanatoa kwa hiyari yao kuwawezesha watumishi wao.

Kuwalinganisha Maaskofu na Mashekhe na maimamu ni kosa kubwa na dhihaka kubwa.
Askofu renki yake ni kama Waziri hata CV zao ni kubwa sana. Askofu ni kama Shekhe mkuu wa Mkoa wa Dsm katika enzi yake.

Huyo imamu awaombe waumini wake wamchangie na sio kuwalinganisha na Maaskofu.

Makanisa makongwe kama RC,KKKT ,Anglicana,Morovoan, Sabatio nk. yanaendeshwa kwa bajeti ya kila mwaka kama serikali
 
Mi hata baiskeli sina, napanda bodaboda sasa tunafanya kazi ya Mungu, Hakuna Askofi anayepanda bodaboda wala hakuna Padri anayepanda bodaboda, Waislam tuko nyuma sana, halafu bahati nzuri waumini wwetu hawatupendi yaani ukionekana unatemea kwa miguu wanakwambia sunah, Sunah ya nani?
Piga spana , piga utosoni, Waislamu wabadilike Masheikh wapewe sadaka na ile zako inayotolewa na waumini
 
Mi hata baiskeli sina, napanda bodaboda sasa tunafanya kazi ya Mungu, Hakuna Askofi anayepanda bodaboda wala hakuna Padri anayepanda bodaboda, Waislam tuko nyuma sana, halafu bahati nzuri waumini wwetu hawatupendi yaani ukionekana unatemea kwa miguu wanakwambia sunah, Sunah ya nani?
huyu sheikh ana shida badala ya kutafuta gari anataka kuchangiwa kama Lissu, mbona wapo wenye magari wao wameyapata wapi?
 
Back
Top Bottom