Sheikh: Waislamu tuko nyuma sana, hakuna Askofu anapanda bodaboda, ukitembea kwa mguu wanasema Sunah

Sheikh: Waislamu tuko nyuma sana, hakuna Askofu anapanda bodaboda, ukitembea kwa mguu wanasema Sunah

wana wazazi na ndg wengine pia au unataka kusema wameshushwa kutoka mbinguni, vilevile wapo mapadri wenye michepuko na watoto usijifanye hujui hili dhehebu linaongoza kwa unafiki
Unaelewa uongozi wa Parokia, au Kigango ynavyofanya kazi? Padri au Askofu wanakusanya sadaka?
Hilo la michepuko mimi sio kazi yangu kuhukumu, Mungu ata wahukumu kadil8 ya matendo yao.
 
Unaelewa uongozi wa Parokia, au Kigango ynavyofanya kazi? Padri au Askofu wanakusanya sadaka?
Hilo la michepuko mimi sio kazi yangu kuhukumu, Mungu ata wahukumu kadil8 ya matendo yao.
Mnajionaga nyie ndo wakristo wa kweli wakati huo mna mapungufu kibao, kwenye sadaka hamna tofauti yoyote na wakristo wengine
 
Kuna msikiti tangu 2021 mpaka leo haujaisha, kiukweli ndgu zetu ni wazito kwenye kujitoa kwa ajili ya maendeleo ya kitaasisi.
 
Hivi sunnah ndio kitu gani hasa..⁉️
Kitu ambacho ukikifanya unapata thawabu na ukikiacha hupati dhambi

Aidha, ni lifestyle aliyokuwa nayo Mtume Muhammad (S.A.W) pamoja na maswahaba(marafiki au mitume wake)

Kwa mfano suala la kutumia dawa za kiasili za kiarabu (Kisunni), kuswaki kwa kutumia mswaki wa kjjiti, kula kwa kutumia viganja vya mkono (pasipo kutumia kijiko au uma), kula ukiwa umekaa katika mkeka au baraza n.k

Am here to be corrected
 
Hapo unazungumzia makanisa yenu ya Kilokole. RC Mapadri na Maaskofu hawana familia.
Hata huko waumini wanalalamika kila siku kukamuliwa kwa sadaka kuwa nyingi both kanisani na katika jumuiya
 
Hahahahaha Shekhe yamemshinda akaona ayatue, kwakwel wako nyuma, ila utashangaa wao wana magari ila mashekhe wao wanatembea kwa miguu
 
Hahahahaha Shekhe yamemshinda akaona ayatue, kwakwel wako nyuma, ila utashangaa wao wana magari ila mashekhe wao wanatembea kwa miguu
Ni nyinyi makondoo ndio mnamchagia mchungaji hio hela ya vitz
Huku kwetu aendelee tu kutembea kwa kuwa kiongozi wa imani ni wito hakuna utapeli au atafute kazi
Endeleeni kuchangia mahoteli ya kitalii ya mitume wenu matapeli
1719141957988.png
 
View attachment 3023892
Hata akimiliki Serena zote sio vibaya, haimaanishi kuwa akiwa Mtumishi basi awe masikini

Yaelekea wewe una mawazo ya wale masheikh masikini wa Buguruni malapa
 
wana wazazi na ndg wengine pia au unataka kusema wameshushwa kutoka mbinguni, vilevile wapo mapadri wenye michepuko na watoto usijifanye hujui hili dhehebu linaongoza kwa unafiki
Nina Askofu namfahamu alisema hawezi kufa Bila kuacha kizazi kaandikisha watoto majina ya mdogo wake kuwa watoto wake na anatoa matunzo na Kila kitu na nyumba kajengea mdogo wake ghorofa anakoishi huyo Mkewe inasomeka jina la mdogo wake mdogo wake hakai hapo aliogopa kuandika Mkewe asije mdhulumu Huwa anaenda huko anashinda na mkewe Wana watoto watatu na saà hii mja mzito mtoto wa nne
 
Nina Askofu namfahamu alisema hawezi kufa Bila kuacha kizazi kaandikisha watoto majina ya mdogo wake kuwa watoto waoke na anatoa matunzo na Kila kitu na nyumba kajengea mdogo wake ghorofa anakoishi huyo Mkewe inasomeka jina la mdogo wake mdogo wake hakai hapo aliogopa kuandika Mkewe asije mdhulumu Huwa anaenda huko anashinda na mkewe Wana watoto watatu na saà hii mja mzito mtoto wa nne
Watajifanyq kukubishia km kawaida ya unafiki wao ila hizi kesi zipo nyingi tu
 
Hata akimiliki Serena zote sio vibaya, haimaanishi kuwa akiwa Mtumishi basi awe masikini

Yaelekea wewe una mawazo ya wale masheikh masikini wa Buguruni malapa
Nyinyi ni makondoo
Utatoaje sadaka unadanganywa inaenda kwa yesu
Nadhani unamjua huyo mwenye pensi nyanya ni nani, sio mfanya biashara mkubwa nchini wala sio kada wa CCM
Halafu sasa anamiliki hoteli kutokana na hela za makondoo

1719150124280.png
 
Back
Top Bottom