EMANUEL JOHN JOHN
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 503
- 468
Aende peponiSheikh anataka gari aende wapi?
Aende peponiSheikh anataka gari aende wapi?
Hili ndo tatizo la kutafuta maslahi kwa mgongo wa dini! ... Hapa mnafananisha mambo mawili tofauti kabisa na yote ni ktokana na kukosa uelewa. U-Shekhe sio career katika uislamu na ndio maana utaona wanazuoni tofauti tofauti pamoja na swahaba pia wote walikuwa na kazi zao pembeni, kuendesha kwake gari ni rizki aliyopewa na Allah na kama hakupewa asionee choyo mwenye nacho. Hata Bukhari alifanya biashara, sembuse wewe shekhe wa mtaani kwenu?
Mi hata baiskeli sina, napanda bodaboda sasa tunafanya kazi ya Mungu, Hakuna Askofi anayepanda bodaboda wala hakuna Padri anayepanda bodaboda, Waislam tuko nyuma sana, halafu bahati nzuri waumini wwetu hawatupendi yaani ukionekana unatemea kwa miguu wanakwambia sunah, Sunah ya nani?
Nawekea mkazo kidogo kwa watu wote na madhehebu yote hapa nchini kwetu " KIONGOZI WA DINI KUISHI MAISHA MAZURI SIO DHAMBI ILI MRADI HAIBI , HADHULUMU , HATAPELI "Sema ndugu zetu inabidi mjitathmini mnavyoendesha mambo yenu mmekuwa wazito sana. Kuna msikiti kule nyumbani Luku inanunuliwa kwa kujitolea. Yaani ajitolee muumini ndio umeme ununuliwe. Sio kitu kibaya ila lazima kuwe na usiriazi kwenye kuhudumia nyumba ya Mungu. Kama waumini wanatoa Sadaka na Michango inamaana unaweza kuweka utaratibu wa kiasi cha maji, umeme na posho za masheikh.
Masheikh kuishi nyumba nzuri, kutembelea gari sio dhambi as long as nyie waumini mmemuwezesha kwa moyo mmoja. Maana ukichana tu na kuwa ni dhehebu bado ni Taasisi pia kuna mambo mtayaendesha kwa mafundisho ya Mungu na kuna mambo yanaendeshwa kitaasisi.
Sisi Wakatoliki inawezekana tuna mapungufu mengi kama tunavyosemwa kila siku ila tunaimpact kubwa sana jamii nadhani kupita dhehebu lolote lile. Hii ina maana michango na sadaka tunazotoa kuna vitu vinaenda kufanyika na vinaonekana.
NARUDIA TENA, KIONGOZI WA DINI KUISHI MAISHA MAZURI SIO DHAMBI ILI MRADI HAIBI, HADHULUMU, HATAPELI.
🤣🤣🤣Nyie huko mnahudumia padre mmoja, huku sheikh anataka aoe wanne, halafu hao wanne wanataka washindane kuzaa ili kumshika mume wao🤣🤣🤣 waumini mumpe sheikh nyumba nne na mahitaji ya hizo nyumba nne na gari kubwa la familia🤣
Kwa kweli waendeleze tu hiyo Sunna ya kutembea kwa mguu kama wanavyoendeleza ya kuoa🤣🤣🤣 hadi waseme.
Wanaua albino hao tumewastukiaWakasome Sasa MTU umeishia memkwa ufanane na askofu mwenye masters na PhD?
Ukija kuua watoto wenye ulemavu wa ngozi je?Ukija kwenye Ilmu Akhera hakuna wa kuwafikia.
Kwani unadhani mtu yeyote tu anakuwa Sheikh bila ya kusoma?Na masheikh pia wanasoma miaka na miaka ila utofauti wake ni kwamba tu hawasomi circular,kitu ambacho ni sawasawa tu na Mapadri wanaosoma Theology.Wakasome Sasa MTU umeishia memkwa ufanane na askofu mwenye masters na PhD?
Wakasome Sasa MTU umeishia memkwa ufanane na askofu mwenye masters na PhD?
Hapo nafikiri hakuna wa kuwafikia Waganga wa KienyejiUkija kuua watoto wenye ulemavu wa ngozi je?
Hahahaaa! Paroko kaonyesha rangi yenu, mganga hana dini ila paroko sasaHapo nafikiri hakuna wa kuwafikia Waganga wa Kienyeji
Halafu wale sijui wengi ni dini ipi?
🙄🙄🙄Nishawahi
Jamaa unajibu kwa presha, punguza jazba🤣🤣🤣
Dini yetu imekamilika
Na asiyefanya kazi na asile
Tunajitambua, ndio maana michango ni marufuku
Hatuwezi kumchangia padri aishi kwenye nyumba ya bure huku anakula mbususu za masista kwa kuwapanga mstari
Wa kwetu akiiba zaka, atatafuta pa kujifukia
90% ya Waganga na walozi ni Waislam, pamoja na MajiniHahahaaa! Paroko kaonyesha rangi yenu, mganga hana dini ila paroko sasa
🤣🤣🤣ukionekana unatemea kwa miguu wanakwambia sunah, Sunah ya nani?
Mapadri na Maaskofu wa RC ni wa bobezi kwenye elimu zote.Ukija kwenye Ilmu Akhera hakuna wa kuwafikia.
Hapo unazungumzia makanisa yenu ya Kilokole. RC Mapadri na Maaskofu hawana familia.Kuna mambo huwa sikubaliani nayo lakini huyu sheikh angejua jinsi tunavyokamuliwa huko makanisani unatoa sadaka huku roho inauma yani,
kazi ya Mungu haihitaji malipo ni kazi ya wito hiyo kukamua waumini ili mtembelee magari na familia zenu ziishi vizuri ni kufuru hamna huduma hapo, wakristo baadhi wanawadhihaki lakini ni hao hao ndo wanaongoza kwa kulia na maumivu ya sadaka ama la hata huko kanisani hawapajui sababu ile hamu na imani ishakufa ajili ya hizo sadaka zisizoeleweka hupelekwa wapi, maana ya sadaka imeghasiwa kabisa
wana wazazi na ndg wengine pia au unataka kusema wameshushwa kutoka mbinguni, vilevile wapo mapadri wenye michepuko na watoto usijifanye hujui hili dhehebu linaongoza kwa unafikiHapo unazungumzia makanisa yenu ya Kilokole. RC Mapadri na Maaskofu hawana familia.