Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,848
Sasa tunatoa sadaka halafu bado taasisi zetu zinakuwa, zinastawi, zinaongezeka yaani shule za kutosha na nzuri, hospitali, vyuo vya ufundi mpaka vyuo vikuuNyinyi ni makondoo
Utatoaje sadaka unadanganywa inaenda kwa yesu
Nadhani unamjua huyo mwenye pensi nyanya ni nani, sio mfanya biashara mkubwa nchini wala sio kada wa CCM
Halafu sasa anamiliki hoteli kutokana na hela za makondoo
View attachment 3023934
Ninyi maskini ya mungu mmeishia kutawadha kwenye vibanda mjini mkisubiri bikira 72?
Hata kumanage tu taasisi hamuwezi