Sheikh Walid na Al had Mussa warushiana maneno kuhusu kumiliki Bastola

Sheikh Walid na Al had Mussa warushiana maneno kuhusu kumiliki Bastola

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Akihutubu kwenye msikiti wa Kichangani. Sheikh Walid ameshangaa inakuwaje sheikh anaingia msikitini na Bastola
👇
Hapa Sheikh Walid anashangaa inakuwaje sheikh anakuwa na bodyguard na Bastola.

Lakini hapa chini Al Had Mussa akajibu kuwa sheikh kumiliki Bastola ni Sunnah
👇
Kwa maoni yako yupi yupo sahihi?
 
Ila hivi vituko utavikuta kwa sisi wala ugali, sasa hapa utashangaa zinatengenezwa timu mbili ndani yao alafu wakishakulana huko fichwa vya kutosha , wafuasi wao watakuja JF kusema kwamba mabeberu waliingilia bakwata ili ivunjike 😁
Sheikh Walid anashangaa sheikh kusujudu huku kiunoni ana Bastola. Al had Mussa kasema kushangaa mtu kuwa na Bastola ni ushamba
 
Akihutubu kwenye kwenye msikiti wa Kichangani. Sheikh Walid ameshangaa inakuwaje sheikh anaingia msikitini na Bastola
👇
View attachment 3635298
Hapa Sheikh Walid anashangaa inakuwaje sheikh anakuwa na bodyguard na Bastola.

Lakini hapa chini Al Had Mussa akajibu kuwa sheikh kumiliki Bastola ni Sunnah
👇
View attachment 3635301
Kwa maoni yako yupi yupo sahihi?
Wote wako sahihi,ila inategemea na mazingira,sio kosa kumiliki bastola!
 
Wote wako sahihi,ila inategemea na mazingira,sio kosa kumiliki bastola!
Hakuna mahali imesemwa kumiliki Bastola ni kosa. Ila sheikh anaimiliki ana hofu gani?

Al had kajibu kwamba Kwa mazingira ya sasa kuwa na bastola si ajabu. Kwani wao kina Al had si Kila siku wanasema hii nchi Ina amani. Yeye mpaka aingie na Bastola msikitini anamhofu nani?
 
Kila mtu ana hofu,hiyo ya Nchi ya Aman ni mdomoni tuu, Angalia wenye mageti na fence kubwa za umeme, Bado wameweka na kamlango kakutokea mwingine!
 
Back
Top Bottom