Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
- Thread starter
- #21
Sasa inaonesha Walid alikuwa hajui watoto wa mjini wanaishije. Yeye akataka kuleta mambo ya TAMTA kwenye miji ya watu.Hawana imani, watu wa Mungu wanapaswa kulindwa na Mungu