Sheikh Walid na Al had Mussa warushiana maneno kuhusu kumiliki Bastola

Sheikh Walid na Al had Mussa warushiana maneno kuhusu kumiliki Bastola

Hakuna mahali imesemwa kumiliki Bastola ni kosa. Ila sheikh anaimiliki ana hofu gani?

Al had kajibu kwamba Kwa mazingira ya sasa kuwa na bastola si ajabu. Kwani wao kina Al had si Kila siku wanasema hii nchi Ina amani. Yeye mpaka aingie na Bastola msikitini anamhofu nani?
Tangu utotoni mimi naona masheikh mtaani kwetu wanalo jambia kiunoni. Siku hizi tu ndio sioni.
Sasa kama masheikh wanakuwa na jambia au hata watu tu wa kawaida hasa pwani wanavaa majambia na kutembea nayo na kwenda nayo msikitini, kwanini isiwe bastola?
Ni sawa na kuongeza kinanda kwenye ngoma za asili na kuita mnanda.
 
Ni kweli. Wengine tuliokulia kwenye maeneo ambako Ngoma ya Tokomile ilikuwa inapigwa tulikuwa tunayaona hayo mambo ya majamvia.

Ni utamaduni wa kuiga toka kwa waarabu. Lakini Bastola unaifananishaje na Jamvia lililokuwa linavaliwa kama urembo tu?

yemen-sanaa-yemeni-man-near-bab-al-sabah-in-traditional-dress-with-A6WYB4.jpg

Hii ni staili ya washihiri.
 
Ila hivi vituko utavikuta kwa sisi wala ugali, sasa hapa utashangaa zinatengenezwa timu mbili ndani yao alafu wakishakulana huko fichwa vya kutosha , wafuasi wao watakuja JF kusema kwamba mabeberu waliingilia bakwata ili ivunjike 😁
Watasingizia kanisa
 
Ni kweli. Wengine tuliokulia kwenye maeneo ambako Ngoma ya Tokomile ilikuwa inapigwa tulikuwa tunayaona hayo mambo ya majamvia.

Ni utamaduni wa kuiga toka kwa waarabu. Lakini Bastola unaifananishaje na Jamvia lililokuwa linavaliwa kama urembo tu?

View attachment 3635416
Hii ni staili ya washihiri.
Hata huo uislamu siyo dini yetu ya asili. Na kwa taarifa yako jambiya siyo urembo, ni silaha ambayo ukijichanganya unachinjwa nayo.
 
Akihutubu kwenye msikiti wa Kichangani. Sheikh Walid ameshangaa inakuwaje sheikh anaingia msikitini na Bastola
👇
Hapa Sheikh Walid anashangaa inakuwaje sheikh anakuwa na bodyguard na Bastola.

Lakini hapa chini Al Had Mussa akajibu kuwa sheikh kumiliki Bastola ni Sunnah
👇
Kwa maoni yako yupi yupo sahihi?
Halafu kuna nguruwe mmoja anasema uislam nayo ni dini ya munyazi mungu, shenz kabisa , vikundi vya kiuaji hivi
 
Hii tabia wamekopi toka kwa Wachungaji na manabii wa kilokole.
Akina Gwajima, Mwamposa na GeorDavie wamezungukwa na ulinzi mkali wa kimwili/ kibinadamu..

Halafu wanakuhimiza wewe mfuasi wao umtegemee MUNGU kwa yote..
Wakati yeye hauamini ulinzi wa kutoka juu....wana mabaunsa yaliyoshiba, wana pistols, nyumba zao zinalindwa 24 hrs na walinzi wa makampuni.

Wote wakristo na Waislamu tumeharibika.
Mimi falsafa yangu siku hizi ni moja tu.
Ninamuamini MUNGU peke yake tu.
Sitaki broker, Sitaki wakala, wala dalali.
Huyu Pasta au shehe anaishi duniani kama mimi.
Naye Hajamwona MUNGU kama mimi, sasa kwanini awe Winga.
 
Ticha nae alikuwa msengerema tu, aliweka mifumo ya kijambazi hadi leo li nchi halieleweki.
Kafa 1999, kawaacha mtengeneze mifumo, ila mkaona iliyopo inafaa.

Mi nimewashauri waislam wajijenge ila ndo hivyo wanaaminishwa kua elimu sio muhimu, matokeo yake wanaowapigania kisomi na kimataifa ni wachache mno, wengi wanafata mkumbo tu.
 
Back
Top Bottom