Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
- Thread starter
-
- #21
Sasa inaonesha Walid alikuwa hajui watoto wa mjini wanaishije. Yeye akataka kuleta mambo ya TAMTA kwenye miji ya watu.Hawana imani, watu wa Mungu wanapaswa kulindwa na Mungu
Sio shwari kweli, hata machawa wenyewe wanaogopanaWametusanua kuwa hali siyo shwariπππ
Hapa huwezi kushtakiwa maana hayo ni majibu ya akili mnemba.Nimeuliza hapa kwa AI, sababu ya kumiliki bastola msikitini
Majibu yake amesema mambo ya Tanzania hayaelewi
Swali la pili
Je bastola itakuwa halali
majibu yake hiyo bastola itakuwa ya mchongo
Masheikh ni wawili tu hapa Tanzania, Walid na PondaSasa inaonesha Walid alikuwa hajui watoto wa mjini wanaishije. Yeye akataka kuleta mambo ya TAMTA kwenye miji ya watu.
Angalau sasa inawezekana zile shaka za vijana wa kiislamu kuhusu BAKWATA zinaweza kupata mashiko.Masheikh ni wawili tu hapa Tanzania, Walid na Ponda
Na hapo anathibitisha kuwa ni ntu wa dili.Mbona kuhusu madili hajajibu? Kuhusu, siasa pia hajajibu.? Iweje mtu kutaka kumuona Waziri mkuu apitie kwa shehe?
Mzee bakwata wengi wameingizwa TISS.kama unakumbuka kipindi raisi mkapa.kulikuwa na harakati nyingi sana misikitini za harakati.itikadi Kali.Nimeuliza hapa kwa AI, sababu ya kumiliki bastola msikitini
Majibu yake amesema mambo ya Tanzania hayaelewi
Swali la pili
Je bastola itakuwa halali
majibu yake hiyo bastola itakuwa ya mchongo
FactNa hapo anathibitisha kuwa ni ntu wa dili.
Anamwambia shehe mwenzake akitaka kumiliki bunduki amuone atamsaidia.
Yale yale aliyosema Shehe Walid.
Jichanganye πππMbona hajajibu kuhusu madili yake?
Ni moja ya madili yake.Jichanganye πππ
Kamwambia mtu pale kama na yeye anataka Bastola amwambie atamsaidia aipate. Hiyo nayo sijui ikoje?
Ameshibitisha kauli ya Walid kuwa yeye ni mtu wa madiliJichanganye πππ
Kamwambia mtu pale kama na yeye anataka Bastola amwambie atamsaidia aipate. Hiyo nayo sijui ikoje?
AiseeAkihutubu kwenye msikiti wa Kichangani. Sheikh Walid ameshangaa inakuwaje sheikh anaingia msikitini na Bastola
π
View attachment 3635298
Hapa Sheikh Walid anashangaa inakuwaje sheikh anakuwa na bodyguard na Bastola.
Lakini hapa chini Al Had Mussa akajibu kuwa sheikh kumiliki Bastola ni Sunnah
π
View attachment 3635301
Kwa maoni yako yupi yupo sahihi?
Hadi watu wakitaka kumuona waziri Mkuu...π₯ΊAmeshibitisha kauli ya Walid kuwa yeye ni mtu wa madili
Nakubaliana na wewe.Ila huyu jamaa Musa dizain ni muhuni totally yaani yupo huko kwenye dini kwa sababu kuna namna fulani inamfanya aishi town kama sivyo angekuwa mkabaji mmoja hatari sana huko Temeke Mikoroshini alikokulia.
Mantiki yako ni nini?Pia waambie kwamba hizo clip zote ni za mwaka 2024.
#Hallelujah!!!
Nchi imeoza hii.Jichanganye πππ
Kamwambia mtu pale kama na yeye anataka Bastola amwambie atamsaidia aipate. Hiyo nayo sijui ikoje?