Sheikh Walid na Al had Mussa warushiana maneno kuhusu kumiliki Bastola

Hii ndio hoja ya msingi niliyokuwa naitafuta.
Uzi ufungwe
 
Amezaliwa Magomeni hajatokea Kantalamba.
Hata huyo mwenye silaha anaweza akawa mshamba pia kama sio mfanyabiashara wala hutembei na maburungutu ya pesa unamiliki silaha ili umpige nayo nani
Sasa inaonesha Walid alikuwa hajui watoto wa mjini wanaishije. Yeye akataka kuleta mambo ya TAMTA kwenye miji ya watu.
 
Wameamua kuchambana kwa mipasho ya kishoga hadharani, let's see how this stupid battle will end.
 
Amezaliwa Magomeni hajatokea Kantalamba.
Hata huyo mwenye silaha anaweza akawa mshamba pia kama sio mfanyabiashara wala hutembei na maburungutu ya pesa unamiliki silaha ili umpige nayo nani
Kina kawambwa kwao si Rufiji? Sasa yeye wa Temeke anajiona wa mjini sana hata kama mwenzie kazaliwa Magomeni😃😀😄
 
Kina kawambwa kwao si Rufiji? Sasa yeye wa Temeke anajiona wa mjini sana hata kama mwenzie kazaliwa Magomeni😃😀😄
Si ndio hivyo kote sawa tu.
Mimi naona utofauti wao huyu mwenye silaha yeye amelewa sifa na majivuno yaani ni mtu wa kuvimba wakati huyu mwingine asiye na silaha yeye anaamini katika nguvu ya watu yaani mtu wa kujichanganya sasa watu wa aina hii huwa wana ulinzi tayari huwezi kumfanya chochote watu watamtetea na kukushambulia.
Kama ni Marais namfananisha na Hayat Ally Hassan Mwinyi ndio alikuwa hivyo anweza kwenda popote anapotaka bila ulinzi kwa sababu alikuwa anapendwa karibia na kila raia
 
Hizi, Mambo hazina tofauti na ule uzushi wa nyeti kupotea ukishikwa bega,Mara utasikia Zuchu kapewa taraka, Mali zote za, Mond, mrithi ni mama dangote, ujakaa sawa,Chinga harmonize anasema mshangazi wake una mdharau!
Hii michezo ni upuuzi, unafanywa na ccm, na idara zake,na wanavyowajua wa bongo, ni vichwa panzi, wanaingia mzima mzima, badala ya kujadili wanavyopigwa bei kwennye mafuta, watu wanavyotekwa, kutekwa kwa msaidizi wa, Lisu, kwanza serikali kupitia kwa, kenge wawwili, chalamila, na mwigulu, wanakana, wanamshambulia aliyeumizwa, "deny and create confusion" Hapo wana zengo wanabaki labda,chadema walijiteka, au Mbowe ndio anateka!
Wa bongo tuamke, tuwe makini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…