Sheikh Yahya Hussein alikuwa mtu wa usalama!?

Yupo.mganga mmoja alishafariki pia alikuwa dodoma kwa jina darweshe alikuwa mwana usalama
 
kabla Shein hajachaguliwa alitabiri kuwa makamu atakuwa na sura ya duara. alipochaguliwa nilimkubali sana Yahya. kumbe katoa jikoni. Ndiyo maana tabiri zake nyingi zilikuwa pro goverment . sasa hata mwanaye simuamini.

Hakua tu anatabiri
kuna vitu vingine alikuwa anatumika kuvi influence
anajifanya anatabiri kumbe kuna 'maamuzi' yashapangwa
 
ndiyo maana title inakiulizo. hatujaamini outright. zamani nilikuwa nakuona mtu wa maana.
Vyovyote unionavyo hainisaidii wala hainiongezei kitu, hata mimi nilidhani uko sawa kichwani kumbe ndo walewale...
 
Haikubaliki na ni Ushirikina unaomtoa mtu ktk imani ya dini kiislam. Utabiri wa Nyota na ramli za majini ni Ushirikina mkubwa usiokubalika ktk imani ya dini ya Kiislam kama ilivyo ktk mafundisho ya Quran na Sunnah (hadith).
 
Mkienda kwa padre kuungama/kutubu madhambi yenu makanisani huwa mnasema yale mliyo yatenda mnasamehewa dhambi zenu hapo ndiyo wanapo anza kukusanya data

Waganga wengi ni hawa jamaa UWT
Halafu jambazi unamaono!
Mimi hiyo nilishaigundua muda mrefu na nikastuka.
Muungamie Mungu wako pekee kwa kujuta dhambi na si binadamu mwenzako.
 
Mara nyingi watu wenye influence kubwa kwa jamii kama wachungaji..mashekhe...waganga n.k huwa ni wanausalama....coz wanakuwa na info nyingi sana...

Mossad ya Israel, KGB ya zamani, Tanzania n.k ni muhimu kuwa na watu wa Usalama ktk kila sekta iwe Elimu ya Juu, Biashara, Ubalozi, Miundo-Mbinu (Reli, Usafiri wa Anga, Majini, Umeme n.k), Mawasiliano simu/internet/mitandao, Dini, entertainment industry n.k
 
Mmh hivi kama ni kweli alikua hivyo kuna kosa gani au ni dhambi kwa huyo mzee wa watu? naona mjadala usio na maana kabisa kumjadili Mzee wa watu amepumzika kaburini
 
CurrentLY na wasiwasi sana na HuYu sheikh wa mkoa wa sasa





Wasiwasi wako ni nini? kwa huyu sheikh?, ni mtu wa imani sana Sheikh ALHAD MUSSA,lazima awepo katika imani Mkoa wa Daresalaaam katika kuwakarimu wageni/viongozi wanaokuja jijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…