babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
Yupo.mganga mmoja alishafariki pia alikuwa dodoma kwa jina darweshe alikuwa mwana usalama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jazia nyama hapaAlikuwa msalama aliyebobea!!!!!!! Na amefanya mengi sana!!!!! Na document za Rweyemamu zilimgharibu baadaye!!!
Hisia 6 ni zip hizo mkuuNa wanasema wanapenda watu wa dini cuz ni wepesi kupokea machale ya zile hisia sita
Mumeshaanza???? Leo hamumpati mtuHisia 6 ni zip hizo mkuu
Cc mshana jr aliwahi fundisha hili somo..Hisia 6 ni zip hizo mkuu
Sawa, mkuu... Naheshimu msimamo wako. Samahani kwa kukukwaza...
kabla Shein hajachaguliwa alitabiri kuwa makamu atakuwa na sura ya duara. alipochaguliwa nilimkubali sana Yahya. kumbe katoa jikoni. Ndiyo maana tabiri zake nyingi zilikuwa pro goverment . sasa hata mwanaye simuamini.
Vyovyote unionavyo hainisaidii wala hainiongezei kitu, hata mimi nilidhani uko sawa kichwani kumbe ndo walewale...ndiyo maana title inakiulizo. hatujaamini outright. zamani nilikuwa nakuona mtu wa maana.
Hahahahahahaaaa... Kaazi kwelikweli...Mwehu anaokota makopo maeneo ya bomani tu!!! Halafu anajua kujenga hoja za kuipinga serikali wakati akiongea na wenye akili timamu.
Na washawasha!
Haikubaliki na ni Ushirikina unaomtoa mtu ktk imani ya dini kiislam. Utabiri wa Nyota na ramli za majini ni Ushirikina mkubwa usiokubalika ktk imani ya dini ya Kiislam kama ilivyo ktk mafundisho ya Quran na Sunnah (hadith).Alikuwa ni msanii mzuri sana wa kucheza na akili za watu. Mimi ni mkatoliki lakini mzee huyu alikuwa ananfurahisha sana alipokuwa anasoma quran. Alikuwa na mbwembwe fulani hivi, anaziba masikia, anaiimba baadaye anaweka pozi gafla, tena anamalizia kwa tune ya bass , wakati mwanzoni ameanza na soprano. Kitu ambacho nilikuwa sijui je ? ule utabiri, kusoma nyota, pamoja na kufafahamu majini inakubaliwa na dini yake?
Huyu naye anajionesha sana kuwa ni mtu wa Usalama, anapenda sana sifa huyu sheikh na raha. Anatakiwa aendanae na cover yake, sasa kutwa kushinda kwenye mahoteli ya nyota 5 wanayofikia viongozi wa nchi za njeCurrentLY na wasiwasi sana na HuYu sheikh wa mkoa wa sasa
Halafu jambazi unamaono!Mkienda kwa padre kuungama/kutubu madhambi yenu makanisani huwa mnasema yale mliyo yatenda mnasamehewa dhambi zenu hapo ndiyo wanapo anza kukusanya data
Waganga wengi ni hawa jamaa UWT
Red Giant rejea uhusiano wa Forojo Ganza, Masheikh wa Bagamoyo na sheikh Yahya HussainHilo linajulikana wazi
ndo maana alikuwa free kufanya lolote kwenye utawala wa Nyerere...
Historia yake inaanzia kwenye historia ya Mwenge
na historia ya Nyerere Bagamoyo
Mara nyingi watu wenye influence kubwa kwa jamii kama wachungaji..mashekhe...waganga n.k huwa ni wanausalama....coz wanakuwa na info nyingi sana...
CurrentLY na wasiwasi sana na HuYu sheikh wa mkoa wa sasa