Shekh Mwaipopo: Duniani kote serikali kuna watu wanafanya mauaji, watu wanapaswa kulifahamu hilo!

Watu wanafikiri huyu mjinga amejitungia Maneno haya ila wenye jicho la tatu tunajua kuwa ametumwa na dola kuongea hayaa..
Serikali hii ni kijinga kuliko awamu zote zilizopita
 
Yes, zile bunduki sio za kufanyia ubatizo au mabomba ya kumiminia ice cream. Moja kati ya feature ya dola ni kuwa coercive
 
Hebu Bakwata waje aidha wasahihishe kauli ya shehe wao au wamuunge mkono tujue
 
Wauaji wa serikali ni Jeshi, JWTZ ila ni kuua maadui wa nchi, si raia. Raia hawezi kuwa adui wa nchi kamwe. Hata akikosea kuna namna ya kumuadhibu kupitia mahakama si kwa staili hii. Hata kama alitaka labda kama alitaka kuua, watupe ushahidi basi
 
Wanyakyusa ni watu intelligent sana sasa imekuweje Amekua shekhe!!!
 
Kwanza ni aibu sana na upunguani mkubwa sana kwa mtu ambaye unachunga watu kuwa na uelewa finyu kama ulio nao wewe mwaipopo,msichanganye mada senario tuliyonayo tanzania msifananishe popote,watanzania wanatekwa ,wanauwawa............
nani wa kutulinda?
kama mwenye dhamana anaona okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…