Shekhe aipinga vikali chanjo ya malaria mbele ya Waziri wa Afya, kisa ushoga; hamuogopi mtu yeyote!

Hapo hapakuwa msikitini mkuu.....ilikuwa ni mhadhara wa nje. Hata msikitini wanawake huingia pia lakini hukaa mbali na wanaume......hawachanganyiki......ndio maana kwenye hiyo video unawaona wanaume tu. Wanawake wamekaa upande wa kushoto.
Hapo ni ndani ya msikiti wa Manyema, napajua vizuri sana. Na huyo ni imamu wa msikiti huo. Na hii clip naijua.
 
Huyo Sheikh ni Msenge, Msenge sana.
Watu wakitaka awe Shoga wanamsababishia Njaa tu na tako atatoa.
 
Inaonekana akili yako haina akili Kijana....Usitake tuje hapa kuyasema maovu ya Kiislam, rudi tu ukanye
 
Inaonekana akili yako haina akili Kijana....Usitake tuje hapa kuyasema maovu ya Kiislam, rudi tu ukanye
Mkuu mimi nimetoa hoja kuhusu mwananchi kupinga chanjo mbele ya Waziri wa Afya. Tatizo langu liko wapi mkuu?
 
Mkuu huyu shehe ametoa maoni na msimamo wake (na waislamu wenzake). Maoni sio utafiti wala hitimisho; na ametoa angalizo pia (hebu msikilize vizuri).
Tatizo la hawa vijana wa jeshi la Kiislam ndiyo hili, wana mihemko sana, yote hii ni kwa sababu hawajasoma.
 
Rekebisha hapo, sio 'light'
 
Amesema chanjo zinazotoka huko zichunguzwe kwa makini
Hajui lolote jinsi Nchi inavyoendeshwa na ni kutokana na uduni wa elimu. Amewahi kujiuliza chapati na mikate anayokula unga wake unatoka wapi na umewekwa nini. Ice cream za bakhresa ingidients zake zimetoka wapi. Drip za wagonjwa hosp zimetoka wapi. Je Tanzania ni Nchi inayojitegemea Kwa Kila kitu. Kuna TBS na TFDA anajua kazi zake. Alipaswa atie wasiwasi kwenye tende na nyama ya ngamia kama anajitambua
 
Mkuu umeongea kwa uchungu sana lakini Shekhe yupo sahihi; ametumia uhuru wa kujieleza kutoa maoni yake. Yupo sahihi kabisa. Tuwe makini na hivi vitu tunavyoletewa na wazungu wasije wakatutilia homoni za kishoga ndani yake.
 
Mkuu umeongea kwa uchungu sana lakini Shekhe yupo sahihi; ametumia uhuru wa kujieleza kutoa maoni yake. Yupo sahihi kabisa. Tuwe makini na hivi vitu tunavyoletewa na wazungu wasije wakatutilia homoni za kishoga ndani yake.
Na wewe ni walewale. Je hormones nini. Halafu unasema Yuko sahihi kabisa Kwa kipimo kipi. Wewe ni elimu ahera au dunia
 
Huo ni msikiti wa mtoro au kwasababu umedanganya wengi unadhani utadanganya wote? Hebu punguza mizaha
Sasa wewe unachobishia ni nini? Hebu chagua hapa:
A. Huo ni msikiti au la?
B. Waziri wa Afya haruhusiwi kuingia msikitini?
C. Shehe kasema uwongo au ukweli?
 
Na wewe ni walewale. Je hormones nini. Halafu unasema Yuko sahihi kabisa Kwa kipimo kipi. Wewe ni elimu ahera au dunia
Majibu:
  • Hormones ni protini.
  • Shehe yupo sahihi kwa kuwa Catherine Kahabi kafanya utafiti na amekuja na majibu kuntu tena kwa kupiga video wafadhili wa ushoga.
  • Mimi nina ilmu zote (ilmu dunia na akhera)
 
Asante mkuu kwa kunisogezea huu uzi. Kwa kuwa baadhi ya watu ni matomaso sasa wataanza kunielewa polepole.
 

Ukitazama kwa akili huyo shehe ukimuuliza hizo homoni ni homoni gani na zinafanyeje kazi,atabaki kutukana,ujinga ni mzingo.

Watu wanakaa maabara wanaumiza kichwa kunusuru uhai na afya za watu dhidi ya magonjwa,wanakuja wa puuzi wajinga waliojaa illusion za kidini wanaanza kupotosha,ukimuuliza tupe njia mbadala ya kutokomeza malaria hana jibu,bure kabisa.

Mleta mada kuna misismamo na misimamo ya kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…