Mikopo, wana uwezo wa kuilipa? Zanzibar ina deni kubwa sana kwa Tabganyika,buwa wanaamua tu kuweka siri.Zanzibar inaidai Tanganyika zaidi ya tril 3 za mikopo,misaada mzee
Wajue hawawezi kutulazimisha huu Muungano hii sio miaka 1960 tumeamka Watanganyika.Hii miungano bandia na ya kulazimishana, kamwe hauwezi kudumu milele. Tutaendelea kulazimisha kwa muda tu, lakini kuna siku utavunjika tu.
Urusi pamoja na nguvu zote za kijeshi walishindwa kuilinda USSR.
Una uhakika imepelekwa kila Senti inayostahiki kupelekwa?Mikopo, wana uwezo wa kuilipa? Zanzibar ina deni kubwa sana kwa Tabganyika,buwa wanaamua tu kuweka siri.
Pesa yote inayokopwa na JMT, sehemu inayopelekwa Zanzibar, haijawahi kulipwa hata mara moja.
Yuko sahihi kabisa
Tuvunje huu Muungano..
Tuondoe majungu na matusi yasiyo na ulazima
Hawajakaa sawa wakapiga mnada bandari yetu.Na hao kila siku wanatutukana sisi Watanganyika wakidai tunawanyonya. Uvunjwe huu muungano na tunawafukuza warudi kwao tuone kama watabeba haya majumba yao. Hakuna Mtanganyika mwenye mali isiyohamishika huko visiwani. Tumechoka matusi na dharau zao. Majuzi tu wamesamehewa deni la umeme bilioni 65.
š¤£š¤£š¤£ššwatakufa wagonjwa wengi hospital aisee tuachane nao hao wachumia tumbo kina ponda.Tatizo hawana adabu na ndiyo wao wanaanza chokochoko sasa bora tukate mzizi wa fitna yeshe.
Yes, muungano uvunjwe harakaShekhe Ponda amesema:
Tanganyika na Zanzibar ugomvi mpaka lini? Mara nyingi tumewazindua kutoka kwenye Jinamizi la " MUUNGANO' Dawa kila Taifa lirudi kama zamani tuishi kama Kenya na Uganda, Malawi na Msumbiji
Shekhe Ponda amezungumza kupita Ukurasa wake wa twitter
My take: Shekhe Ponda badala ya Kujenga anataka Kubomoa
=========
View attachment 2656035
Utarudi kwenu KenyaYes, muungano uvunjwe haraka
Kwanini nisije kwenu Njombe?Utarudi kwenu Kenya
Hivi Ponda yeye kwao ni mkoa gani? nampenda bure huwa hapindishi kituSheikh wangu bhana huyo, tunasubiri tu muongozo wake ili tuyanoe majambia.
Zaidi ya 100% wangeukataa hauna manufaa yoyote kwa raia wa kawaida manufaa huwa wanayaona watawala pekeeMuarobaini wa hizi kero za muungano ni kuuvunja tu,ni viongozi wa CCM tu ndiyo wanautaka lakini kama ingepigwa kura 'huru' ya maoni zaidi ya 99% ya Watanzania wangeukataa.
Mmanyema yule wa Ujiji.Hivi Ponda yeye kwao ni mkoa gani? nampenda bure huwa hapindishi kitu
Ameunga mkono hoja muungano fake huu uvunjwe haraka hauna manufaa yoyote kwa raiaSheikh Ponda anastahili pongezi,namsubiri na Askofu Mwamakula nisikie rai yake kwenye sakata hili la Bandari.