Shemeji 3 wamehamia kwangu, wanavaa ovyo kunitega?

Ndiyo vaa yao wala hawakutegi
 
Mwambie mke wako nampa pole

Mwanaume anayejitambua angemuita mke wake chumbani na kumwambia "Sitaki kuwaona wadogo zako wakivaa uchi nyumbani kwangu'
Nampenda Sana baba angu Ni gentleman yupo vizuri Sana upstairs hanaga longo longo

Huwa hapendi tabia za ovyo ovyo na ni muwazi SANAA

Shout out kwa wazalendo wote na ma real gentleman wote all over the world.
 
Wapitie kiujanja hao chukulia kama marupurupu ya ndoa hao hata wife akistukia hawezi kumind sana.
Kuna jamaa kitaa mke wake alikuwa hajapata ujauzito kwa muda akamleta mdogo wake kisu balaa jamaa akajisevia hadi akapata ujauzito mke wake hakumaind wala nini.
Mke wake naye akajapata ujauzito sasahivi ana watoto 2 kwa mke wake na mdogo wa mke wake na anaishi nao wote
 
Duuh na wao wameridhia kabisa?
 
Ukute wameambiwa na dada yao mtegeni shemeji yenu tuone msimamo wake.
Japo, nshaona ndoa moja, mdogo akipindua ndoa ya dada ake. Tena ni wa hukohuko kondoa. Bint tulimaliza nae chuo akabaki kwa dada dasalam atafute kazi. Mwishowe dada karudi kondoa anatamba na shemeji mjini.
 
Mwambie mke wako nampa pole

Mwanaume anayejitambua angemuita mke wake chumbani na kumwambia "Sitaki kuwaona wadogo zako wakivaa uchi nyumbani kwangu'
Macho ya kiume hata ukivaa magunia yataona tu kilichopo. Hapa jamaa anatafuta uhalali wa kuanza kuwatembezea rungu. Hao hata wavae nn atawala tu akipata uhalale
 
sasa huyo ndio superwoman...hamanaga wivu wa kijinga kwenye de linoloz bwana especially kama mwanaume mwenyewe anahudumia vizuri
 
Bila shaka mkeo ni mnyamwezi wa Tabora maana ndo wenye hizi tabia. Ila mkuu acha uoga kama wana mwelekeo wa kutafunwa we tafuna tu acha kujifanya niceguy
 
Mtoa mada namjua hajaoa na hapa tupo maskani anakanda ngano tunabishana Mo na Cr7 nani ana hela
 
Bila shaka mkeo ni mnyamwezi wa Tabora maana ndo wenye hizi tabia. Ila mkuu acha uoga kama wana mwelekeo wa kutafunwa we tafuna tu acha kujifanya niceguy
hahaha wewe usiseme kumbe wanyamwezi ndio zao hizo...itabidi nioe wakutoka huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…