mjusilizard
JF-Expert Member
- Nov 7, 2019
- 1,027
- 1,869
Usije ukawa unaandika stori hii huku umekaa kwenye kochi la shemeji yako mkuu? Unamudu kumpa mwanamke kodi ya meza elfu 50 mwezi mzima kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwandiko kama wa kiduku lilo huuKiufupi ninamshkaji wangu, kiukweli jamaa ana mwanamke wake lakini jamaa hajatulia kabisa, hamuachii mwanamke wake pesa ya matumizi na pesa anayo, nnje anahonga sana, shemeji juzi ananiambia eti Rafiki yangu amefikia hatua anamuachia 20,000 kwa siku, kiukwel nilimuonea huruma sana shemeji yangu, 20k kwa maisha haya kwa siku inatosha vipi?
[emoji23][emoji23] kabisa mkuuNamahauri kama anaishi hotelin akachukue chumba uswahilin maana hyo hela n watu waoish hoteln ka kila kitu ni kulipia
Anatufanya watoto wenzie ,uyu jamaa jamii ya kidukulilo [emoji16][emoji16]elfu20! labda ungetuambia elf2 anamwachia
Kama sio ya kutunga we 20k kwa siku ni ndogo? [emoji1]Hapana