Shemeji kaniomba aje kulala nyumbani kwangu

Shemeji kaniomba aje kulala nyumbani kwangu

Kiufupi ninamshkaji wangu, kiukweli jamaa ana mwanamke wake lakini jamaa hajatulia kabisa, hamuachii mwanamke wake pesa ya matumizi na pesa anayo, nnje anahonga sana, shemeji juzi ananiambia eti Rafiki yangu amefikia hatua anamuachia 20,000 kwa siku, kiukwel nilimuonea huruma sana shemeji yangu, 20k kwa maisha haya kwa siku inatosha vipi?
Mwandiko kama wa kiduku lilo huu
 
Jamaa akigundua anakuja kwako je? Alafu unatoa code zote Yani

Aisee Kama upo humu mke wako akikuaga kua anaenda kwa mama yake mdogo just tu anakwenda kwa pompeo
 
Hii ni CHAI
tenor(1).gif
 
Hamna cha maana humu, huyu hana lolote kabisa , anatafuta tu stori watu wa hivi maisha inawapiga vibaya, anaona atoe stress hata kwa uongo humu
 
Back
Top Bottom