KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
- Thread starter
-
- #41
Tuko vizuri si unajua tena utu uzima unakuja na mambo mengi......sasa tupo vizuri na tunatembeleana.....kaka alishatangulia mbele za hakiVp Kwa sasa mahusiano na huyo shemeji Yako.
Mi nipo tofauti sipendi misongamano napenda uhuru sana napenda amani sana, hata ndugu zangu tuonane siku mbili tatu tuagane.....Wanawake wanataka wakae ndugu zao kwake ila sio ndugu wa mwanaume sijui wana shida gani
Na mkeo akichukiwa na baba au mama ako? Inakuuma pia?Hakuna kitu kinavunja moyo na kurudisha nyuma Kasi ya kuipigania familia yako kama mwanamke anaechukia was kwenu!!
Hakuna jaribu gumu duniani kama mkeo akimchukia Mama au baba aliekuzaa Kwa vituko kibao!
Unaweza kujuta kuzaliwa aiseh!maumivu yake hayapoi maisha yako yote!!
Inaumiza sana sana sana!
Halafu walivyo hawana akili "chagua kati yangu au mama Yako""
Mlaaaniwe wanawake wa hivyo popote mlipo!
Wanawake kwa ubaguzi na ubinafsi hamjambo,yani wewe na mtoto muwe wa muhimu kukiko ndugu aliozaliwa nao tumbo moja.Ila tuwe wawazi kuishi na ndugu kazi sana. Maana hata kwa ufanye fadhila bado utalaumiwa. Tena macho ya ndugu hadi huko vijijini yako active kujua mnaishije. Hiyo ni story yako, but kuna story yake na ukweli. Familia ni baba mama na watoto.
Sana mno!na mara nyingi mke ndio hushinda hiyo Battle Kwa muda lakini mioyo yetu hufa na kubadili mwelekeo kabisa kama mke ndio ana chuki na wazazi!Na mkeo akichukiwa na baba au mama ako? Inakuuma pia?
We mzee hii misemo yetu vijana umelijulia wapyDuhhhh.....😜
Mbona wewooo.....🤣
Pole sana, mke wifi na mkwe ni triangle yenye matatizo ukiyabeba utazeeka achana nayo angalia mambo yako.....Sana mno!na mara nyingi mke ndio hushinda hiyo Battle Kwa muda lakini mioyo yetu hufa na kubadili mwelekeo kabisa kama mke ndio ana chuki na wazazi!
Tunajenga,kusomesha watoto n.k Ili kuwaweka watu pamoja!kama tunatafuta halafu tunazua migogoro ni rasmi maisha hayana maaana!Pole sana, mke wifi na mkwe ni triangle yenye matatizo ukiyabeba utazeeka achana nayo angalia mambo yako.....
Mkeo si malaika, mama ako si malaika wala dada ako, bro achana nao jali mambo yako.
Anaweza kuwa uchi ila ana tumbo kama kiroba cha unga na makalio kama makabichiKweli maisha ni safari ndefu sana......
Nimekumbuka kisa kimoja miongo kadhaa nyuma.....wakati najitafuta nilijikuta nimepata hifadhi kwa Kaka yangu( Mola amrehemu).........Shemeji ilionekana hakuridhia uwepo wangu pale ingawa nilikuwa muda mwingi sipo nyumbani.....
Niliyajua hayo kupitia matendo yake maovu dhidi yangu kama vile kuninyima chakula....na kunifungia mlango ili nilale nje kipindi ambacho kaka amesafiri kikazi.......
Nikavunja ukimya na kumwambia kaka baada ya kuona mambo yanazidi kuwa magumu.....hapo ndio nilijua nguvu ya Shem kwenye nyumba ile.......
Sikujua kaka alifikisha ujumbe wangu kwa njia ipi lakini asubuhi baada ya kaka kwenda kazini... Shem alinifata na kuniambia kuwa..."Wewe unaongea na kaka yako mkiwa mmevaa nguo....mimi naongea na kaka yako nikiwa UCHI...je atamsikiliza nani..."
Nashukuru Mungu baada ya siku kadha kaka alinipangishia chumba cha bei chee maeneo ya manzese na kunihudumia hela ya matumizi mpaka nilipoweza kusimama mwenyewe kimaisha......
NILICHOJIFUNZA......
KUISHI KWENYE FAMILIA ZA WATU UNATAKIWA UWE MPOLE HUKU UKIPAMBANA UONDOKE HAPO HARAKA IWEZEKANAYO ILI AMANI IWEPO KATI YAKO WEWE NA NDUGUYO.....
Your brother was a man and a half.Kweli maisha ni safari ndefu sana......

Na mkeo akichukiwa na baba au mama ako? Inakuuma pia?
Hiyo haina shida mbona inaeleweka shida ni kwa wale wenye ubinafsiMi nipo tofauti sipendi misongamano napenda uhuru sana napenda amani sana, hata ndugu zangu tuonane siku mbili tatu tuagane.....
Hata nikienda kwetu nikae siku tatu niondoke.
Na hayana maana kweli 😹Tunajenga,kusomesha watoto n.k Ili kuwaweka watu pamoja!kama tunatafuta halafu tunazua migogoro ni rasmi maisha hayana maaana!
Mungu amrehemu.Tuko vizuri si unajua tena utu uzima unakuja na mambo mengi......sasa tupo vizuri na tunatembeleana.....kaka alishatangulia mbele za haki
Sii nawaambieni kila leo hapa hawa ni mashetani...so selfishWanawake wanataka wakae ndugu zao kwake ila sio ndugu wa mwanaume sijui wana shida gani
Maana ya maisha unaipata kwenye kugegedanaNa hayana maana kweli 😹
Japokuwa Wana mapungufu mengi lakini tusifikie huko ndugu......Sii nawaambieni kila leo hapa hawa ni mashetani...so selfish
Wewe hawa ni wabaya tuu usiwatete bwana.Japokuwa Wana mapungufu mengi lakini tusifikie huko ndugu......
Ubaya hauna jinsia wala rangi bali upo kwenye NAFSI ya MTU
Kweli maisha ni safari ndefu sana......