Ha ha ha unaona eee , sababu huyo baba halisi atajulishwa tunaenda kupima jibu lahuko nitakujulisha ni ile jibu mtoto si wako nawewe huna lolote [emoji23][emoji23] Baba wa mtoto huyo [emoji13][emoji13][emoji13]Akikuta anatoa tu majimaji ya mwisho wa mkojo wa kawaida si atamuomba msamaha mkewe huku baba mtoto halisi anataka mama na mtoto wakaishi masaki
😂😂😂Nimeisoma mpaka six, nimeichimba sana
Asipofanana sura, Kuna rangi, mdomo, urefu n.k
Ila kama hakuna chochote, umepigwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeisoma mpaka six, nimeichimba sana
Asipofanana sura, Kuna rangi, mdomo, urefu n.k
Ila kama hakuna chochote, umepigwa.
Ha ha ha unaona eee , sababu huyo halisi atajulushwa tunaenda kupima jibu lahuko nitakujulisha ni ile jibu mtoto si wako nawewe huna lolote [emoji23][emoji23] Baba wa mtoto huyo [emoji13][emoji13][emoji13]
Vikao bado vinaendelea,Mmemaliza vikao?
Acha tuNataman ata uyo mtoto ningekuwa mm
Ungelea tu au sioNataman ata uyo mtoto ningekuwa mm
Kwani diamond alipowapima DNA watoto wake alienda na zari na hamisa mobeto si aliwapeleka kimya kimya akajua ukweliUnapimia wapi Mkuu?
mliwahi kujaribu hili jambo?
Alihonga au aliwapimia nje ya nchiKwani diamond alipowapima DNA watoto wake alienda na zari na hamisa mobeto si aliwapeleka kimya kimya akajua ukweli
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Ukweli ulikuwaje? Maana naona siku hizi sizisikiii zile tambo za kina Hamisa au mambo yalienda kombo?Kwani diamond alipowapima DNA watoto wake alienda na zari na hamisa mobeto si aliwapeleka kimya kimya akajua ukweli
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
😅😅😅bora kukosa kuliko kubambikiwaHalafu badala yakukaa kimya anashirikisha wenzie, huko wanakokuwa na mkewe nako kawasimulia?[emoji3] kuna watu niwabishi wakati uwezo huo hana, mtu anakutunzia siri halafu yeye anapiga kelele yatamshuka mwache akapime.
Hii siku ipo njiani yaja...Hii kampeni imefeli
Sisi tunao oa ndio tutapiganiwa kwa nguvu. Nyie msiotaka kaeni pembeni sisi tule mbususu
Nyinyi na nani? We km unaoa sema 'mimi' naoa usiseme 'sisi' tunaoa, wewe ni wewe mmoja usijiweke km group wakati upo mmoja tu nje ya million 1Sisi tunao oa ndio tutapiganiwa kwa nguvu. Nyie msiotaka kaeni pembeni sisi tule mbususu
Kama hawaaminiani waachaneWakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda.
Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa karibu sana ukizingatia yeye jamaa alinisaidi sana kusoma enzi hizo kipesa na kimawazo basi tulimfanyia Tafrija ndogo ya kupata mtoto.
Siku chache baadae furaha ya jamaa iliingia shubiri kila alipokuwa akifatilia ukuaji wa mtoto.
Yaani mtoto amekuwa na sura na mwonekano tofauti na Baba na Mama yake.
Yaani Mshikaji ni Mweusi na Mke wake maji ya kunde lakini Mtoto ni Mweupe.
Kwa sayansi ndogo tuliyo nayo kama baba mweusi na Mama maji ya kunde sio rahisi kupata mtoto mweupe. Pengine angepata rangi ya kunde kama Mama yake au Mweusi kabisa kama Baba yake.
lakini Baba ni msomi hawezi kufanya maamuzu based on just feelings. Ameamua kushauriana na mkewe kuwa wakampime DNSA maana jamaa roho inakataa kumpenda mwanaye kati kati ya mashaka.
Mke amekataa kata kata kuwa Mwanaye hapimwi DNA ikibidi hata ndoa ivunjike.
Ana dai kama hamwamini mke wake basi bora waaachane.
Mimi na Braza tume baki mdomo wazi juu ya msimamo wa Mwanamama huyu.
Tulitegemea angekubali ili kumwondolea hofu mumewe na upendo uzidi kutamalaki. Hali imekuwa tofauti.
Sio wakapime ili waendeleze mapenzi yao bila mashaka?Kama hawaaminiani waachane
Wao waachane tu maan hawataweza kuja kukaa sawa tena kirahisSio wakapime ili waendeleze mapenzi yao bila mashaka?
Sasa si bora waondoshe mashaka kwanza ajulikane ni mtoto wa nani kwanza.maana kuachana tu haitoi majibu.Wao waachane tu maan hawataweza kuja kukaa sawa tena kirahis
Sasa si bora waondoshe mashaka kwanza ajulikane ni mtoto wa nani kwanza.maana kuachana tu haitoi majibu.