Shemeji yangu amekataa! Abadani, Mwanangu hapimwi DNA ikibidi ndoa ivunjike tu

Shemeji yangu amekataa! Abadani, Mwanangu hapimwi DNA ikibidi ndoa ivunjike tu

Akikuta anatoa tu majimaji ya mwisho wa mkojo wa kawaida si atamuomba msamaha mkewe huku baba mtoto halisi anataka mama na mtoto wakaishi masaki
Ha ha ha unaona eee , sababu huyo baba halisi atajulishwa tunaenda kupima jibu lahuko nitakujulisha ni ile jibu mtoto si wako nawewe huna lolote [emoji23][emoji23] Baba wa mtoto huyo [emoji13][emoji13][emoji13]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeisoma mpaka six, nimeichimba sana
Asipofanana sura, Kuna rangi, mdomo, urefu n.k
Ila kama hakuna chochote, umepigwa.

Ww nae na mtu alie soma iko kitu 4m 4 c kuna tofauti aje dactari kidogo basi ww na form 6 yako peleka kulee
 
Halafu badala yakukaa kimya anashirikisha wenzie, huko wanakokuwa na mkewe nako kawasimulia?[emoji3] kuna watu niwabishi wakati uwezo huo hana, mtu anakutunzia siri halafu yeye anapiga kelele yatamshuka mwache akapime.
😅😅😅bora kukosa kuliko kubambikiwa
 
Hii kampeni imefeli
Hii siku ipo njiani yaja...

Kaa kwa kutulia usiwe na pupa...

Screenshot_20230213-233657.png
 
Wakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda.

Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa karibu sana ukizingatia yeye jamaa alinisaidi sana kusoma enzi hizo kipesa na kimawazo basi tulimfanyia Tafrija ndogo ya kupata mtoto.

Siku chache baadae furaha ya jamaa iliingia shubiri kila alipokuwa akifatilia ukuaji wa mtoto.

Yaani mtoto amekuwa na sura na mwonekano tofauti na Baba na Mama yake.

Yaani Mshikaji ni Mweusi na Mke wake maji ya kunde lakini Mtoto ni Mweupe.

Kwa sayansi ndogo tuliyo nayo kama baba mweusi na Mama maji ya kunde sio rahisi kupata mtoto mweupe. Pengine angepata rangi ya kunde kama Mama yake au Mweusi kabisa kama Baba yake.

lakini Baba ni msomi hawezi kufanya maamuzu based on just feelings. Ameamua kushauriana na mkewe kuwa wakampime DNSA maana jamaa roho inakataa kumpenda mwanaye kati kati ya mashaka.

Mke amekataa kata kata kuwa Mwanaye hapimwi DNA ikibidi hata ndoa ivunjike.

Ana dai kama hamwamini mke wake basi bora waaachane.

Mimi na Braza tume baki mdomo wazi juu ya msimamo wa Mwanamama huyu.

Tulitegemea angekubali ili kumwondolea hofu mumewe na upendo uzidi kutamalaki. Hali imekuwa tofauti.
Kama hawaaminiani waachane
 
DNA ni hatua ya awali ya kumkataa mtoto. Mtu timamu yoyote ataifanya kwa siri. Ukikuta mtoto ni wako na ulipayuka kila sehemu kuwa unahisi huyo si mwanao ni doa tayari. Utaishi ukitamani mwanao akikua asijue hiyo historia.
 
Back
Top Bottom